ramsoshare
Member
- Oct 17, 2016
- 65
- 48
Duuuhh!! Ina maana 2017 tujiandae mwendo wa nyonyo nje tu...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yaan ashaisha hana habariii kabisamama ubaya,shoga ake dinazarde
past tense [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]She was
eti wanasemanga ukishuka wanzako wanapanda [emoji23] [emoji23] [emoji23]ohooo!!kwani yule kijana alieshinda mabilion wameachana?
Tunaskianga kwenye media malkia, malkia,mfalme huwa shida kumpataMalkia wa bongo movie?
Shamsa ford aitwe nan?
Wolper...uwoya..lulu
Kuna mdada hapa kazini huwa ana mtandao wa instagram nakumbuka mwaka jana alinisomea udaku wa kuhusu huyo mdada kuwa na mimba, vipi alijifungua au bado?
[HASHTAG]#unataka[/HASHTAG] kusikia jambo zuri kutoka
kwangu kwa mwaka 2017? Gonga
Likes za kutosha and nitarudi
kukung’ata sikio… This be your First
Image…. There is plenty of these Just
for You
Ohooo!!!!!eti wanasemanga ukishuka wanzako wanapanda [emoji23] [emoji23] [emoji23]
She is geting oldOh wow!
Haven't heard much of her lately.
Seems like she'e been laying low....
yupo nusu fainali huyuFainali uzeeni
Wale mnaotafuta wachumba, madame yuko single bado.