Picha: Wema arudi upya Instagram, ahaidi makubwa 2017

Picha: Wema arudi upya Instagram, ahaidi makubwa 2017

Kuna mdada hapa kazini huwa ana mtandao wa instagram nakumbuka mwaka jana alinisomea udaku wa kuhusu huyo mdada kuwa na mimba, vipi alijifungua au bado?
 
Alipoona ataumbuka mbelen akasingizia imetoka(mapacha)
Kuna mdada hapa kazini huwa ana mtandao wa instagram nakumbuka mwaka jana alinisomea udaku wa kuhusu huyo mdada kuwa na mimba, vipi alijifungua au bado?
 
Ile picha inaonekana kama imepigwa kwenye mabanda ya kuku.kwenye background kuna wavu unaonekana
 
Hio picha mbona kama vile kaipiga Sinza Ambiance ?? Madame khali ngumu ya life ,wanaume wanaisoma number siku hizi wanahonga kwa hesabu.
 
Nakweli amerudi kwa kishindo...kufika na kuwa kwenye list ya watuhumiwa wa madawa!huu mwaka wake kwakweli!
 
Bado yuko vizuri, wanaomsema vibaya wanamuonea wivu tu, muacheni na maisha yake.
 
Back
Top Bottom