Picha: Wema Sepetu New looks

Picha: Wema Sepetu New looks

Mtu ana post picha ya photoshop, kisha anasifiwa yeye ni mzuri! sasa hapo mzuri yeye au picha ?!!!. Haya masifa sifa haya kuja kutahamaki muda na miaka imekwenda na bank huna kitu.Kabila la watu weusi tunashida sana.

Ajabu wengine nao wanatafuta kushindana na picha za kuchuja!!!Matokeo yake unaweka kucha za bandia ndefu nchi moja, nywere za bruu, uso wa rangi ya fanta passion, kiwiliwili rangi ya peps!. Pua na masikio yaliishatobolewa zamani, siku hizi hata uchi una wekwa pini, bangili.! Manina wallahi corona uje kuchukua wapuuzi hawa!!

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] dah hapo mwisho!
 
Ila wema alifanya bypass surgery? Alafu baada ya kupungua akafanya skin reduction surgery? Vipi kuhusu stretch marks alizokua nazo. Ule unene aliokua nao itakua amefanya boob job pia tatizo hawezi kua muwazi. Kuna wengi wanataka kufanya surgery lakini hawajui pa kuanzia.

Sent using Jamii Forums mobile app
Angalia wasije wakame up na moyo
wafanye mazoezi wacheze na diet ....
that is the best way they can do
 
Anahangaika tu,umri umekwenda,kilometa nyingi zimeenda
Ameyachezea maisha,sasa akili yake inamwambia akiwa kimbau mbau atarudi kwenye enzi zake
Wema alifanya pati baada ya kumtosa diamond
Wema allitupilia mbali murano aliopewa zawadi na diamond,akawa anatembea BMW
Sasa hivi hata wa kumpa boxer hamuoni
Na bado atafyeka mpaka komwe lile
 
Back
Top Bottom