Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Anasafishiwa njia !Halafu ridhi moko kala uwaziri
Mwamba wa kulia kapona
Hapo wanaonekana wanajidai kweri kweli !
Hana muda mrefuMwamba wa kulia kapona
Shujaa kwa lipi,kuua na kupoteza watu.Hata huku kwetu alikua shujaa huyo mzee
Ndio unatakaje!?Shujaa kwa lipi,kuua na kupoteza watu.
Aya nenda kapande Treni ya mwendo kasi ushuke Moro uwahi kwenu malinyi.shujaa kwako na wapuuzi wenzio.
Acha jaziba, akiwa si shujaa kwako basi acha kukomentBado yule wa "wazuri hawafi"
Kwetu Chato lakini sio juha hamnazo kama wewe.Aya nenda kapande Treni ya mwendo kasi ushuke Moro uwahi kwenu malinyi.
Coming soonBado yule wa "wazuri hawafi"
🔨Shujaa wa chato,kweli wewe ni wa sengerema
?Mbona Naona Twiga na Majenereta au simu mbovu jamani.
Pole vipi ulikuwa na vyeti feki?shujaa kwako na wapuuzi wenzio.
Hii ngoma bado mbichi mbichi....