Picha: Wolper abadili dini kwa Mara ya Tatu

Mi nahisi kama anapenda pesa kuliko iyo kuolewa, maana angependa kuolewa ama ndoa angeolewa na mmoja akatulizana. Nadhani ni pesa tu!na iyo ya kubadili dini nadhani anatumia kama chambo kuwaaminisha wanaommiliki kua ye yupo serious kwao

bas mjasiria akili
 
Watanzania tunamatatizo sana, mtu hata akibadili dini mara 100 unapata hasara gani?
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…