JF ndiyo inafanya watu wanganganie kuolewa ,na mada mada zao ohoo ukifika 30's kwishneyy , ohoo ulikuwa wapi , ohooo hatuoi 30's ndiyo maana wanawake wanapanic , Ushauri wa Bure Maisha hayawezi kuwa sawa hata kidogo , Hatuwezi wanawake wote kuolewa kwenye 20' tuko tutakaolewa kwenye 30's , 40's , na hata 50 kama tungali hai , Maisha si kuolewa peke yake , Fanya Mema kwa Jamii inayokuzunguka kama kioo chao , Toa Misaada mara kwa mara , Be strong ....utabadili badili DINI Mwishowe uwe JINI BUREEEEEEEEEE