Godz favourite
Member
- Mar 16, 2015
- 75
- 28
Madem wengine uozo mtupu,,, kwanza aliyekuwa naye sahizi hajafahamu precedent kuwa jacklyn anabadili dini akichimba mgodi anarudi zake kkkt??? ... Akimla ela sahizi ataokoka
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
dah! Mdau kwa deteils hizi lazma ulipita pale!Anapenda kuolewa lakini mbunye inamlet down sana...sijui kawekwa panya kwenye mbunye ni hatari..yaani ikifokonyoa kimoja we jasiri na hurudi tena...
wolper anapenda sana kuolewa yani mpk anatia huruma
JF ndiyo inafanya watu wanganganie kuolewa ,na mada mada zao ohoo ukifika 30's kwishneyy , ohoo ulikuwa wapi , ohooo hatuoi 30's ndiyo maana wanawake wanapanic , Ushauri wa Bure Maisha hayawezi kuwa sawa hata kidogo , Hatuwezi wanawake wote kuolewa kwenye 20' tuko tutakaolewa kwenye 30's , 40's , na hata 50 kama tungali hai , Maisha si kuolewa peke yake , Fanya Mema kwa Jamii inayokuzunguka kama kioo chao , Toa Misaada mara kwa mara , Be strong ....utabadili badili DINI Mwishowe uwe JINI BUREEEEEEEEEE