Picha: Wolper abadili dini kwa Mara ya Tatu

Picha: Wolper abadili dini kwa Mara ya Tatu

warumi

R I P
Joined
May 6, 2013
Posts
16,218
Reaction score
18,440
Huyu ndo Ilham original, tajiri wa dini, ukimsikia mwingine fekero. Ina maana pale KKKT Kijitonyama ndo basi tena hatukuoni? Umewaaibisha wenzio ujue? Si ulisemaga umerudi kundini kimoja na utakuwa mshirika Wa kudumu pale kkkt na sadaka juu ukatoa, tukapiga vigelegele wenyewe tumepata mshirika super staa, khaa!! umetuaibisha ujue?

Ulianza na Jackline, ukaja na Ilham sasa hivi tena sijui utajiita nani? Ila ningependa uitwe MWAJABU maana una mambo ya ajabu sana Dada yetu, kila mtu anapenda pesa na maisha mazuri hilo halina ubishi ila style yako imekua ya kipekee mno, najua utajitetea ooh!! Nilikuwa location hyo movie mpya Mara ooh!! Napenda hijab toka mdogo, yote utayasema wewe na zaidi, ila bahati mbaya wakina Kubenea tushapataga habari kitamboo.

Mbona mwenzio naniliu kabadilisha dini kimya kimya tu maisha yanaendelea anakula zake bata, mwenzangu na mie mdomo juu juu kama mikoba ya Moze mwisho wa siku unaaibika.
 
Huyu mpuuzi aache kucheza na dini zetu.Kwani mapenzi/ndoa hayawezekani bila kabadili dini? Kikubwa ni real love tu dini sio kikwazo
 
Wolper aka ilham
 

Attachments

  • 1426068833344.jpg
    1426068833344.jpg
    47.1 KB · Views: 3,413
Huyu ndo Ilham original, tajiri wa dini, ukimsikia mwingine fekero. ina maana pale KKKT kijitonyama ndo basi tena hatukuoni? Umewaaibisha wenzio ujue? Si ulisemaga umerudi kundini kimoja na utakuwa mshirika Wa kudumu pale kkkt na sadaka juu ukatoa, tukapiga vigelegele wenyewe tumepata mshirika super staa, khaa!! umetuaibisha ujue?

Ulianza na jackline , ukaja na ilham sasa ivi tena sijui utajiita nani? Ila ningependa uitwe MWAJABU maana una mambo ya ajabu sana Dada yetu , kila mtu anapenda pesa na maisha mazuri hilo halina ubishi ila style yako imekua ya kipekee mno, najua utajitetea ooh!! Nilikuwa location hyo movie mpya Mara ooh!! Napenda hijab toka mdogo , yote utayasema wewe na zaidi, ila bahati mbaya wakina kubenea tushapataga habari kitamboo. Mbona mwenzio naniliu kabadilisha dini kimya kimya tu maisha yanaendelea anakula zake bata , mwenzangu na mie mdomo juu juu kama mikoba ya moze mwisho Wa siku unaaibika.

kabadili tena
 
Wallah mtoto wa Kike hatuli sehemu moja huku anataka huku anataka,Ankula huuu mwaka huu.........
Hivi keshasilimu tayari? Maana kipindi kile alisilimu msikiti wa kichangani magomeni hadi kuswali akawa anakuja kila ijumaa.Looh!
 
Aliniudhi alipokuwa anahojiwa anasema mtoto wa kike hana dini...

Kama mtoto wa kike anajidharau hivi na kudhalilisha wazazi wake...unategemea nini kama si kuongeza sababu kwa wanaochukia watoto wa kike...
Yani mtoto wa kike ni invisible...hana dini...hana kwao...mwisho atasema hata wazazi hana...kisa mtoto wa kike...
 
Aliniudhi alipokuwa anahojiwa anasema mtoto wa kike hana dini...

Kama mtoto wa kike anajidharau hivi na kudhalilisha wazazi wake...unategemea nini kama si kuongeza sababu kwa wanaochukia watoto wa kike...
Yani mtoto wa kike ni invisible...hana dini...hana kwao...mwisho atasema hata wazazi hana...kisa mtoto wa kike...

Mtoto wa kike yeye asokua Na malezi Wengine tuna dini tena na maamuzi , yeye mwenye tamaaa...
 
Hana inshu huyo mwizi tu wa mapenzi anachungulia mfuko tu akiona umetoboka anabadili din lakin elewa dini ya uislam ailetewi masihala utapigiwa Albadili ukawa zezeta.
 
wolper anapenda sana kuolewa yani mpk anatia huruma

Mi nahisi kama anapenda pesa kuliko iyo kuolewa, maana angependa kuolewa ama ndoa angeolewa na mmoja akatulizana. Nadhani ni pesa tu!na iyo ya kubadili dini nadhani anatumia kama chambo kuwaaminisha wanaommiliki kua ye yupo serious kwao
 
Back
Top Bottom