Picha: Wolper abadili dini kwa Mara ya Tatu

Picha: Wolper abadili dini kwa Mara ya Tatu

kwani alikuwa na dini gani na sasa kaingia kwenye dini gani?msaada plz
 
ngoja nikaulize kwanza inawezekan mtu kuzifanya dini kama timu ya mpira..!? leo huku kesho kule.
 
Aliniudhi alipokuwa anahojiwa anasema mtoto wa kike hana dini...

Kama mtoto wa kike anajidharau hivi na kudhalilisha wazazi wake...unategemea nini kama si kuongeza sababu kwa wanaochukia watoto wa kike...
Yani mtoto wa kike ni invisible...hana dini...hana kwao...mwisho atasema hata wazazi hana...kisa mtoto wa kike...

Ila me ndo nnavo jua mtt wa kike hana dini wala kabila ....
 
huyo mdada kwanza siyo wife material weupe wake unambeba mjini hapa
 
huyo mdada kwanza siyo wife material weupe wake unambeba mjini hapa

Hakuwa ivo, alikua maji ya kunde tazama movie ya Valentine alocheza na Kanumba pamoja na drama queen Wema Sepetu.
 
Hana inshu huyo mwizi tu wa mapenzi anachungulia mfuko tu akiona umetoboka anabadili din lakin elewa dini ya uislam ailetewi masihala utapigiwa Albadili ukawa zezeta.

Hahahaaaaaaaa umenichekesha kweli mkuu subiri mashekh wetu wakasirike habar ya mjini ataijua
 
wolper anapenda sana kuolewa yani mpk anatia huruma

Anapenda kuolewa lakini mbunye inamlet down sana...sijui kawekwa panya kwenye mbunye ni hatari..yaani ikifokonyoa kimoja we jasiri na hurudi tena...
 
Back
Top Bottom