Picha: Wolper, Lulu waonyesha kadi zao za magari

warumi

R I P
Joined
May 6, 2013
Posts
16,218
Reaction score
18,440
Mastaa wa filamu bongo, jackline wolper (pichani) na elizabeth michael (lulu) kwa wakati tofauti wamejikuta wakionyesha kadi za magari wanazomiliki baada ya uvumi kuenezwa na wabaya wao kuwa magari wanayomiliki mastaa hao ni ya kuhongwa na sio yao.

Alianza jackline wolper mwaka 2012, ambapo msanii huyo alidaiwa kuporwa gari alilokuwa akimiliki aina ya BMW X6, ambapo msanii huyo alikana kuwepo kwa uvumi huo na kuwathibitishia waandishi wa habari(shakoor jongo wa gpl) ambapo aliwaonyesha kadi halali ya umiliki wa gari hilo la thamani alilokuwa akimiliki mrembo huyo(pichani juu).
Hata hivyo haikupita mda msanii huyo aliporwa gari hilo la thamani licha ya kuonyesha kadi halali ya umiliki wa gari hilo.

Hivi karibuni pia msanii Lulu alipost instagram kadi ya gari analomiliki (pichani) hivyo kuwafunga midomo wabaya wake walioneza tetesi mitandaoni kuwa msanii huyo alipokonywa gari alilokuwa akitanulia mjini aina ya rav 4 new model analodai kuwa alinunua kwa shilingi mil. 44.

Hata hivyo lulu hakufafanua ni biashara gani anayoifanya mbali na sanaa inayomuwezesha kuishi maisha expensive na kumiliki gari la mil 44 kama alivyodai mwenyewe.
 

Attachments

  • 1408730768327.jpg
    113.8 KB · Views: 1,373
Wameficha CC!..waonyeshe tuone uwezo wao wa kumudu mafuta..

Yeye kaona kutuonyesha jina ndo kamaliza kila kitu.

Ila akumbuke hata wolper nae alituonyesha hadi kadi ya gari lakini mwisho wa siku mwenyewe kachukua chake so ajipange
 
Hiyo kadi ni duplicate ina stamp duty atuoneshe kadi yote na namba ya gari ni A au C na tuone kama kuna previous owner, na siyo kadi nusu hapa siyo lnstagram
 
Hiyo kadi mbona haijaonyesha upande wa kulia ambao ndio una aina ya gari?

Isije ikawa ni kadi ya pikipiki!!
 
First registration 11.6.2013... hiyo gari ni nzeee hapa mjini
 
Kazi anzofanya...
1)Yuko na biashara between l.e.g.s na mzee wa msituni..
2)Yuko na business between ....na pedeshee wa Madini aka Me...
3)Yuko ......................................na mzee wa Vipaji
4)Yuko.................................na mutu mufupi lawyer
inaendelea
 
anatembelea rav 4 ya kijivu new model , sasa haijajulikana kadi yake ndo iyo aliyoionyesha ua la maana kaficha maelezo mengine

Binamu hiyo rav4 ni old model yani kilitym zina zaidi ya 10yrz
 
Hizo kadi Kariakoo zinachapishwa kama kawaida
 
Halafu wakipata kesi wanakosa hata mil 3 za Dhamana...wanalia kama watoto...
 

Ebu rudi bwana utufafanulie kidogo, maana wengine mambo ya fill the gap yalitushindaga toka primary, njoo bwana uku utupe uhondo
 

Weka picha ya kadi tuone model ya gari mbona imefichwa, kwenye maandishi yako inaonekana anathibitisha anamiliki hilo gari....

Hoax...plus madawa agents...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…