warumi
R I P
- May 6, 2013
- 16,218
- 18,440
Mastaa wa filamu bongo, jackline wolper (pichani) na elizabeth michael (lulu) kwa wakati tofauti wamejikuta wakionyesha kadi za magari wanazomiliki baada ya uvumi kuenezwa na wabaya wao kuwa magari wanayomiliki mastaa hao ni ya kuhongwa na sio yao.
Alianza jackline wolper mwaka 2012, ambapo msanii huyo alidaiwa kuporwa gari alilokuwa akimiliki aina ya BMW X6, ambapo msanii huyo alikana kuwepo kwa uvumi huo na kuwathibitishia waandishi wa habari(shakoor jongo wa gpl) ambapo aliwaonyesha kadi halali ya umiliki wa gari hilo la thamani alilokuwa akimiliki mrembo huyo(pichani juu).
Hata hivyo haikupita mda msanii huyo aliporwa gari hilo la thamani licha ya kuonyesha kadi halali ya umiliki wa gari hilo.
Hivi karibuni pia msanii Lulu alipost instagram kadi ya gari analomiliki (pichani) hivyo kuwafunga midomo wabaya wake walioneza tetesi mitandaoni kuwa msanii huyo alipokonywa gari alilokuwa akitanulia mjini aina ya rav 4 new model analodai kuwa alinunua kwa shilingi mil. 44.
Hata hivyo lulu hakufafanua ni biashara gani anayoifanya mbali na sanaa inayomuwezesha kuishi maisha expensive na kumiliki gari la mil 44 kama alivyodai mwenyewe.