Picha ya babu yetu aliyeacha kununua shamba la heka 500 kwa Tsh. 30 akisema hawezi kuishi Kimara porini kwenye fisi!

Picha ilipigwa 1961, flexing on his new Yahama baada ya kukataa kununua shamba la heka 500, Kimara-Dar es salaam kwa shilingi 30/- za kitanzania kwa madai hawezi kuishi na mafisi huko maporini.

Kaka zake hawa hapa

1710527415095.png
 
Hana tofauti na babu yangu..
Yeye akanunua huko mabondeni ety Mianzini daah 😂😂😂😂😂
 
Picha ilipigwa 1961, flexing on his new Yahama baada ya kukataa kununua shamba la heka 500, Kimara-Dar es salaam kwa shilingi 30/- za kitanzania kwa madai hawezi kuishi na mafisi huko maporini.

Historia ya Kimara nasikia ilikuwa inatisha.

Hata Leo watu hawataki kwenda Vigwaza wanasema ni Porini.

Hawana tofauti na Babu yako.
 
nakushauri kanunue shamba heka 500 visiga kwa 25,000,000 kabla hujaja kusimangwa na vitukuu vyako miaka 60 ijayo
Milioni 25 parefu sana. Gawa hilo shamba in portions na sisi tupate.

Ila visiga bado jau sana😄😄
 
Hilo shamba lingemsaidia nini leo, kila mtu apambane na hali yake!
 
Picha ilipigwa 1961, flexing on his new Yahama baada ya kukataa kununua shamba la heka 500, Kimara-Dar es salaam kwa shilingi 30/- za kitanzania kwa madai hawezi kuishi na mafisi huko maporini.

Hongereni kwa kuwa na babu mmoja huyo huyo Kenya alikataa kununua eka 5,000 na huyo huyo alikataa kununua eka 500 Kimara🤣🤣
Sijui mnafaidika na nini au ni ulemavu wa akili kuleta habari na kujivika uhusika.🙌
IMG-20240314-WA0012.jpg
 
rithi hata hiyo akili ya babu yako, lakini chondr chonde, usirithi huo mguu wake...☠️☠️❗
 
Nyerere ndie aliyeua Idea za wazee wetu ilikuwa ukiwekeza kwenye mijengo viwanja mashamba unakamatwa ndani kesi ya uhujumu uchumi,ikawalazimu wazee waoe wake wengi walewe na kufungua zipu ili pesa ziishe TU.
Maana ukikutwa nazo kesi.
Ukizingatia usalama wa taifa wa zamani walikuwa viherehere kishenzi wapo mbele ili wakuharibie
Mambo ya ujamaa.
 
Mambo ya kisengeh kabisa.
 
Picha ilipigwa 1961, flexing on his new Yahama baada ya kukataa kununua shamba la heka 500, Kimara-Dar es salaam kwa shilingi 30/- za kitanzania kwa madai hawezi kuishi na mafisi huko maporini.

Picha hiyo siyo ya mwaka 1961 kwa vile suluari hizo za Pecos na Bugaloo na mashati ya Slim fit zilikuwa ni fasheni za miaka ya kuanzia 1973. Suruali za miaka ya sitini zilikuwa ni style ya tight mtepesho
 
Hata wewe itakukuta hiyo mzee hutaamini.Nunua hatakama ni poti nunua tuuu
 
Picha ilipigwa 1961, flexing on his new Yahama baada ya kukataa kununua shamba la heka 500, Kimara-Dar es salaam kwa shilingi 30/- za kitanzania kwa madai hawezi kuishi na mafisi huko maporini.

Hiyo combination ya suruali, shati na kiatu chake vilikuwa ni qualification number one kupata mchumba narudia tena qualification number one kupata mchumba ... kosa vingine vyote lakini siyo hiyo.

Na ukiwa na radio cassette National Panasonic Memory Q ilikuwa ni added advantage

1710593038394.png
 
Back
Top Bottom