Ushabiki si tatizo.Mkuu habari imeletwa kishabiki sana
Matumizi mabaya ya pesaKwa vile haujihusishi na biashara ya matangazo ya biashara huwezi kuona faida au matumizi ya hiyo artwork.
Graphic designers na advertising agency wamenielewa.
Tangazo moja linaweza kuingiza Hadi $10,000 na kuendelea...Matumizi mabaya ya pesa
Ni kweli bro! Lakini tujiulize ni msanii gani kutoka Tanzania ama East Africa picha yake ilishawahi kuwekwa sokoni[Gettyimage] kama Diamond? Ama kama yupo je kwa gharana gani? Issue hapo ni branding kwa diamond ni kitu kikubwa[kwa upande Wetu east africa] Lakin ukisema umlinganishe na wasanii wakubwa Dunian lazima iwe pesa ndogo sana kitu kinachoendana na thaman ya diamond compare na hao wasanii wakubwa.Ushabiki si tatizo.
Mtu akileta ushabiki unaoonesha kitu cha kweli, kitu cha kutambia, nitamuona mshabiki wa maana anatuhabarisha mambo yanavyokwenda duniani.
Sasa hii post mtu kaileta kiushabiki kwa sababu yeye anaona $499 ni pesa ndefu kwa picha ya star, wakati kiuhalisia habari hiyo ilitakiwa kufichwa kwa sababu imemdogosha sana Diamond.
Inawezekana kuna watu walikuwa radhi kulipa pesa ndefu kweli kupata picha za Diamond wataona kumbe kidau ni hiyo pesa mbuzi.
Tatizo ni umasikini.
Ukiwa masikini Tanzania $499 lazima utaona pesa ndefu, wakati kimataifa kwenye soko la picha za ma celebrity hiyo pesa ni kashfa kwa udogo wake.
Diamond sasa ni msanii wa kimataifa. Juzi kapewa kongole kwa kujaza Royal Albert Hall, London UK. Hapo ni sehemu wanaenda kina Adele, Burna Boy, Elton John, etc.Ni kweli bro! Lakini tujiulize ni msanii gani kutoka Tanzania ama East Africa picha yake ilishawahi kuwekwa sokoni[Gettyimage] kama Diamond? Ama kama yupo je kwa gharana gani? Issue hapo ni branding kwa diamond ni kitu kikubwa[kwa upande Wetu east africa] Lakin ukisema umlinganishe na wasanii wakubwa Dunian lazima iwe pesa ndogo sana kitu kinachoendana na thaman ya diamond compare na hao wasanii wakubwa.
Ndio ni msanii wa kimataifa but ukimlinfanishs na hao uliowataja bado bado asee lkn pia hata bei za picha za hao uliowataja ni Ile Ile Sawa na ya diamond [getty image].Diamond sasa ni msanii wa kimataifa. Juzi kapewa kongole kwa kujaza Royal Albert Hall, London UK. Hapo ni sehemu wanaenda kina Adele, Burna Boy, Elton John, etc.
Acheni kumdogosha kwenye kundi la "msanii wetu, msanii wa East Africa", etc.
Kwa kweli sio kila mtu picha yake itawekwa sokoni na gettyimage kwa kweli hilo ni jambo kubwa. Hata kama hakujajitokeza mtu yeyote kuinunuaNi kweli bro! Lakini tujiulize ni msanii gani kutoka Tanzania ama East Africa picha yake ilishawahi kuwekwa sokoni[Gettyimage] kama Diamond? Ama kama yupo je kwa gharana gani? Issue hapo ni branding kwa diamond ni kitu kikubwa[kwa upande Wetu east africa] Lakin ukisema umlinganishe na wasanii wakubwa Dunian lazima iwe pesa ndogo sana kitu kinachoendana na thaman ya diamond compare na hao wasanii wakubwa.
Kweli kabisa. Kwa dola za Marekani hutwo ni tuela twa mboga ya mchana tu.Mzee baba mil 1.3 sio pesa ndefu...
Then Getty image si kipimo cha kuringishia. Kwa sababu hizo pesa ni peanuts kwa celebrity.Ndio ni msanii wa kimataifa but ukimlinfanishs na hao uliowataja bado bado asee lkn pia hata bei za picha za hao uliowataja ni Ile Ile Sawa na ya diamond [getty image].
View attachment 3382568
View attachment 3382569
Unawauzia halafu wao wana library ya picha zinatumika na taasisi mbalimbali.Hivi Mkuu Kiranga hawa Getty image hizi picha unawapelekea waziuze au wao ndio huziweka sokoni mtandaoni kisha wanaziuza halafu wanakulipa?
Hela ya Tanzania kuielewa udogo wake utaielewa vizuri ukitoka nje ya Tanzania. Hususan nchi kama Marekani au Western Europe.Kweli kabisa. Kwa dola za Marekani hutwo ni tuela twa mboga ya mchana tu.
Cc. sinza pazuriPicha ya Diamond Platnumz aliyopigwa Summer Jam 2025 yauzwa pesa ndefu, TSh Milioni 1.3 na Getty Images
Kampuni kubwa inayojulikana kimataifa kwa upigaji picha za wasanii wakubwa na matukio makubwa, Getty Images, imetangaza rasmi kuuza picha moja ya Diamond Platnumz kwa $499 (Tsh Milioni 1.3/=) ikiwa na ubora (quality) wa juu kabisa β (4188 x 6000px | 25.1MP).
Picha hiyo adimu inamuonesha Diamond Platnumz akiwa jukwaani akitumbuiza kwenye tamasha kubwa la kimataifa Hot97 SummerJam, na sasa inapatikana kwa yeyote anayetaka kuimiliki β lakini kwa viwango tofauti vya ubora kama ifuatavyo:
πΉ Quality ya chini kabisa β $150 (Tsh 391,000/=)
πΉ Quality ya kati βMediumβ β $350 (Tsh 912,000/=)
πΉ Quality ya juu βHighβ β $499 (Tsh 1,334,000/=)
Nimecheka Sana Sanaa π π mpaka mtu abadilike mentality inachukuaga muda Sanaa.Hela ya Tanzania kuielewa udogo wake utaielewa vizuri ukitoka nje ya Tanzania. Hususan nchi kama Marekani au Western Europe.
Kuna mdogo wangu mmoja siku za kwanza alivyokuja US alikuwa anashindwa hata kunywa soda. Kwa sababu alikuwa anaibadilisha ile dola kwenda kwenye shilingi za Tanzania anaona mbona hii hela nyingi sana kwa soda tu?
Mkuu,Nimecheka Sana Sanaa π π mpaka mtu abadilike mentality inachukuaga muda Sanaa.
Ni kweli kwa hizi calculation lazima uogope. Hata Mimi ningeogopa yaani soda uinunue 8000.Mkuu,
Usichwke. It is a real thing.
Mtu jatika Bongo keo umwambie soda chupa moja (2l, on sale) ni $3.
Rste ya USD leo ni shilingi 2655.
2655 x 3 = 7965. Ukikipa na kodi ushavuka sh 8,000 huko.
Mtu anapiga hesqbu chupa ya soda sh 8,000.
Kwa kulinganisha na Bongo ni haki yake aone soda hainunuliki.
ππππThen Getty image si kipimo cha kuringishia. Kwa sababu hizo pesa ni peanuts kwa celebrity.
Kama mnataka kuringishia ringishia picha za magazetini zinavyouzwa.
Mkuu,ππππ