The Humble Dreamer
JF-Expert Member
- Oct 12, 2015
- 8,011
- 11,447
Hivi nyie hua mnatoa wapi hela?Ukiwa masikini Tanzania $499 lazima utaona pesa ndefu, wakati kimataifa kwenye soko la picha za ma celebrity hiyo pesa ni kashfa kwa udogo wake.
Hivi nyie hua mnatoa wapi hela?Ukiwa masikini Tanzania $499 lazima utaona pesa ndefu, wakati kimataifa kwenye soko la picha za ma celebrity hiyo pesa ni kashfa kwa udogo wake.
Mkuu,Hivi nyie hua mnatoa wapi hela?
NimekuelewaHapo sijaiba, sijadanganya, sijamtumia mtu yeyote kwenye tax returns fake, kila
Kama nilivyosema mwanzo kilichofanyika ni branding tu hasa kwetu sisi ambao wengi wetu tulikuwa hata hatujui hiyo 'getty image' na hii sio Mara ya kwanza picha ya diamond kuuzwa kwa bei hiyo hiyo getty image.Mkuu,
Sasa watu wakiringishia picha kuuzwa $500 Getty Images na wasanii ambao vitu vyao vinauzwa Sotherby's na Christie's watasemaje?
Hawa mashabiki mbuzi wanajua hata Sotherby's na Christie's ni nini?
Ndiyo hivyo.Kama nilivyosema mwanzo kilichofanyika ni branding tu hasa kwetu sisi ambao wengi wetu tulikuwa hata hatujui hiyo 'getty image' na hii sio Mara ya kwanza picha ya diamond kuuzwa kwa bei hiyo hiyo getty image.
Kwenye Tuzo za BET ambazo diamond alikuwa nominated for the first time pia picha zake zipo na bei ile Ile, so why wameipost saivi as if ni kitu kipya? ATTENTION SEEKER, kuonesha watu hasa waliokuwa hawajui ukubwa wa diamond.