Picha ya Dkt. Salmin Amour na Dkt. Hussein Mwinyi inaliza

Hujafa hujaumbika
Hakika kabisa,

Tena nakumbuka UVCCM wa Zanzibar walikuwa na wimbo wao wa kauli mbiu kuhusu comandoo Salmin..

[emoji441][emoji441] CCM EEE YASHIKA USUKANI,,[emoji443][emoji443]YAZIDI SONGA MBELE NA DEREVA COMMANDO SALMINI.[emoji441][emoji441][emoji450][emoji450][emoji443][emoji443][emoji443]
 
ungeweka akiba ya maneno mkuu.
 
Kuwa Rais au mja si neno. Hakuna anayehukumiwa hapa. Ujumbe muhimu katika mada hii tunakumbushwa kuwa wema kwa binadamu wenzetu wakati wote tukitambua ukuu wa Mwenyenzi Mungu, unyonge tuliozaliwa nao (human vulnerability) na uwekezekano wa kubadilikiwa maisha wakati wowote.

Sio ukiwa njema basi unaendekeza kiburi cha uzima na kuwatendea binadamu wenzako visivyo kwa dharau nyingi eti kwa vile hata ukiwa mwema unaweza pata adha zozote tu. Wakati wowote tarajia rehema ya Mwenyenzi Mungu na huruma ya binadamu wenzako. That's certainly a valid message to us as of current.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…