Picha ya Etoo na Ligobert Song inaongea

Hahaha pole kwa kipigo Cha Jana ...

Sent from my CPH1803 using JamiiForums mobile app
 
This thread didn't age well..Pole ndugu mchambuzi

Sent from my SM-A405FN using JamiiForums mobile app
 
Rudi huku uandike tena, muwage wavumilivu
 
Wabongo tumejawa na ujinga sana, watu na akili zao fupi wanawaza hapa tu.

Sijui kama wanafahamu World Cup ijayo Africa itapeleka nchi 9 na ukiongeza nafasi moja ya play-offs tukawa na timu 10, ila usishangae bongo kutokuwa mmoja wapo!
Hata afrika tukipewa nafasi sabini tunaweza wabongo tusiwemo. Mtu akibisha muulize kimsimamo tupo wangapi.
 
mbona Etoo kama anaangalia mahali pengine. Yani sioni kama Song alikuwa target yake kwa kumuangalia. Ila kama Etoo ana malienge naweza kubaliana na mtoa mada.

Personaly nam "respect" sana mtaalamu wa soka Ligobert Song
 
Hoja yangu wala haikuwa kufuzu kwenda world cup, ila performance yao kwa ujumla. Sijajua makundi yatakuwaje, ila akipata kundi lilichangamka hata draw sioni akiipata.
Wandugu ebu tuwe tunafuatilia basi Mpira sio kushabikia tu, kwa mechi hiyo moja iliyomvusha kwenda WC haiondoi ukweli kwamba jamaa timu yao kwa sasa haipo sawa, na ushahidi ni ile performance yao mbaya kabisa kwenye afcon.
Kumfunga Algeria Brothers nawaambieni sio ishu hata sisi Tanzania tushawahi Kumfunga huyo Algeria.
Kwa Cameroon ni vile tu wachezaji waliamua kuifia timu kwenye mechi ile.
 
Nakubaliana na wewe na ndio ilikuwa hoja yangu. Kwa kuanzia Algeria mwenyewe wala hakufanya vizuri kwenye Afcon hivyo hivyo hata kutolewa na Cameroon siyo kwamba Cameroon kapona "ugonjwa" uliokuwa unamsumbua.
Kiuhalisia ni kama ile generation bora ya soka ya Cameroon imeisha na wanapaswa kuanza upya kama ilivyo kwa ndugu zao wa Nigeria.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…