Picha ya hali halisi ya madaraja ya unyonyaji baadhi ya nchi za Afrika

Picha ya hali halisi ya madaraja ya unyonyaji baadhi ya nchi za Afrika

maiko sultan

JF-Expert Member
Joined
Jan 28, 2024
Posts
961
Reaction score
2,138
IMG_20261014_174349_114.jpg


Watu wachache sana wanafurahia maisha kwa jasho la wengi. Na wale daraja la kati ambao ni jeshi, polisi, viongozi wadogo licha na wao wanateseka ndiyo wanatumika kama ngazi ya kuwakandamiza wale wa chini kabisa ili kuwalinda wale wa juu.
 
Masikini wanapenda kujipa umuhimu sana....wakati zaidi ya 70 ya kodi zinalipwa na matajiri wa kihindi na kiarabu na Wa ki Africa
 
Kama hautaki huo mfumo kufa tu ..Kiufupi , tumeingia kwenye mtengo na huyo ndo uhalisia.
 
Chini hapo Kuna watu wanategea hawabebi hao watakuwa ni madiwani na wenyeviti wa mitaa
 
Mbona hiyo ni kawaida sana mkuu. Watu wote hatuwezi tukafanana.
Ni kweli matabaka lazima yawepo na yatakuwepo ila uchungu zaidi pale unapoona viongozi wa juu wananeemeka juu ya keki ya taifa halafu daraja la chini wakiwa kwenye shida zilizokithiri , barabara mbovu , hakuna madawa, hakuna maji, umaskini uriokithiri.
 
haha naona communists nao wamekuja na jibu, kuna mzungu aliwahi kuandika kitabu kilichoitwa the white man s burden.

kitabu cha "the white man's burden" ...
1792055003400.png
 
Back
Top Bottom