maiko sultan
JF-Expert Member
- Jan 28, 2024
- 961
- 2,138
Mbona hiyo ni kawaida sana mkuu. Watu wote hatuwezi tukafanana.View attachment 3691002
Watu wachache sana wanafurahia maisha kwa jasho la wengi. Na wale daraja la kati ambao ni jeshi, polisi, viongozi wadogo licha na wao wanateseka ndiyo wanatumika kama ngazi ya kuwakandamiza wale wa chini kabisa ili kuwalinda wale wa juu.
Ni kweli matabaka lazima yawepo na yatakuwepo ila uchungu zaidi pale unapoona viongozi wa juu wananeemeka juu ya keki ya taifa halafu daraja la chini wakiwa kwenye shida zilizokithiri , barabara mbovu , hakuna madawa, hakuna maji, umaskini uriokithiri.Mbona hiyo ni kawaida sana mkuu. Watu wote hatuwezi tukafanana.
ππππChini hapo Kuna watu wanategea hawabebi hao watakuwa ni madiwani na wenyeviti wa mitaa