Picha ya JB na mke wake

Ndo maama kuacha michepuko ngumu sana maana unaweza ukatulia kumbe wako unachepukiwa huko duh ila fresh kama ulivyosema ngoma droo

Hahahaahaa...hujambo weye raia wa Tz!
 
Hahahaahaa...hujambo weye raia wa Tz!

Mie mtanganyika bhana ckukuu yetu bado na itakua kali kushinda ile yenu ya jana, kumbuka laana yangu bado inaendelea mpk kieleweke
 
Mie mtanganyika bhana ckukuu yetu bado na itakua kali kushinda ile yenu ya jana, kumbuka laana yangu bado inaendelea mpk kieleweke

Uuuwiii plz punguza hyo laana nisije nikarukwa akili nikakosa utamu wa maisha
 
Last edited by a moderator:
hili lijamaa lina mke kweli? kutwa liko na shemsa ford wanakula bata na kupiga domo...hata simu ya ford ukipiga linapokea...

Jb muone hivyo hivyo, kuna kipindi nilikuwa naonana sana na mke wake, alikuwa anahitaji laptop za hp. Jb hakupendezwa, ila machoni alikuwa mnafki ananichekea chekea, siku ya siku mke wake akanitumia sms tusitishe biashara hiyo kisa jamaa anachukia.
 
labda Sababu cha mtu mavi Mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…