Picha ya JB na mke wake

Picha ya JB na mke wake

Ndo maama kuacha michepuko ngumu sana maana unaweza ukatulia kumbe wako unachepukiwa huko duh ila fresh kama ulivyosema ngoma droo

Hahahaahaa...hujambo weye raia wa Tz!
 
Mie mtanganyika bhana ckukuu yetu bado na itakua kali kushinda ile yenu ya jana, kumbuka laana yangu bado inaendelea mpk kieleweke

Uuuwiii plz punguza hyo laana nisije nikarukwa akili nikakosa utamu wa maisha
 
Habari za uhakika na chini ya carpet ..JB anakula Shamsa Ford kisiri

JBNASHAMSA.JPG
 
Alikuwaga ana duka kariakoo la nguo na walikua wanaishi ubungo kibangu...
Sijaonana nae loong so sijui Kama bado analo[/

Anaitwa QUEEN irene MAKEULA, Amemaliza Jitegemee Secondary School Mwaka 1994, Ana mdogo wake Mmoja wa kike,Ni Mtoto qa Sinza kwa Wajanja Haswaaaa, Kwao ni sinza kituo cha Mori Nyuma ya baa ya Kwa Charles Hillary zamani ilikuwa maarufu kwa jina la CLaRENDON Bar sio mbali sana na kwa kina Jb au alipokuwa anaishi Rich Rich mwigizaji Pia, ni mdada mjasirimali anayejiheshimu ktk ndoa yake sio kama Manungayembe Mengine Ya Mjini, Kwa mke happ JB kapata ashindwe yeye Tu...! Anything Else u wanna know about her Ni PM...!
 
mamakibunju huyu dada nampata fresh nimefanya nae kazi moja mahali Fulani..but sina mawasiliano nae loong kidogo.
 
Last edited by a moderator:
hili lijamaa lina mke kweli? kutwa liko na shemsa ford wanakula bata na kupiga domo...hata simu ya ford ukipiga linapokea...

Jb muone hivyo hivyo, kuna kipindi nilikuwa naonana sana na mke wake, alikuwa anahitaji laptop za hp. Jb hakupendezwa, ila machoni alikuwa mnafki ananichekea chekea, siku ya siku mke wake akanitumia sms tusitishe biashara hiyo kisa jamaa anachukia.
 
labda Sababu cha mtu mavi Mkuu
 
Back
Top Bottom