Picha ya jk yachakachuliwa na wana ccm

Mfamaji

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2007
Posts
6,630
Reaction score
1,945
Wakuu nimeiona hili bango la Mgombea wa CCM bwan Jk ikiwa imechakachuliwa .Inasemekana vijana wa CCM waliokuwa wanabandika ndio wameichakachua . Msg sent.
 
Mbona hamna kitu au ni hii mkuu....maana ina rangi za CCM na smile kuubwa

 
Cheki picha yake nyingine. Mwanya inchi nne .Loh
 
Wakuu turudishieni ile ya mweleka wa jangwani, ile ya kukwidwa na mganga wa kienyeji- Mwanza tuzidi kuona hizo sinema. ndo maana TZ tumechoka, tunaongozwa na majini yanayofanya vituko hadharani!
 
Kwenye kiza cha Yahya naona ndivyo alivyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…