Picha ya jk yachakachuliwa na wana ccm

Picha ya jk yachakachuliwa na wana ccm

Mfamaji

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2007
Posts
6,630
Reaction score
1,945
Kikwete.JPGWakuu nimeiona hili bango la Mgombea wa CCM bwan Jk ikiwa imechakachuliwa .Inasemekana vijana wa CCM waliokuwa wanabandika ndio wameichakachua . Msg sent.
 
Cheki picha yake nyingine. Mwanya inchi nne .Loh
 
Wakuu turudishieni ile ya mweleka wa jangwani, ile ya kukwidwa na mganga wa kienyeji- Mwanza tuzidi kuona hizo sinema. ndo maana TZ tumechoka, tunaongozwa na majini yanayofanya vituko hadharani!
 
Kwenye kiza cha Yahya naona ndivyo alivyo.
 
Back
Top Bottom