Picha ya Kagame umeielewaje wewe Kama wewe

Picha ya Kagame umeielewaje wewe Kama wewe

Alimaliza hiyo course?
Aliishia kati baada ya General Kaka na wenzie kumalizana na Rwigema huku wakisonga Kigali,ikabidi arudi asimamie alipoachia Rwigema.
Wengine wanasema ye ndo aliwatuma kina Gen Kaka wamalizane na Rwigema kabla hajarudi.
M7 ndiye alimpeleka PK kozi US.
General Salim Saleh (mdogo ake M7) na Fred Rwigema ndo wakaanza harakati kuikomboa Kigali.
GSS alihakikisha silaha zipo kwa Rwigema.
Kilichomponza Rwigema ni kukataa kulipiza kisasi.
Sasa hapo ndo aliwatibua hao watusi.
Maana pale ilikua somo moja tu..
Na style yao ya mauaji ni kupiga jembe la kichwa alafu anageuza anakutwanga nalo tena upande wa pili wa jembe.
Hawa watu ni wanyama
 
Unajua congo second African world war ilikuwaje, kasome vizuri ndo utaielewa picha
 
Interahamwe bwana! Kwahiyo kumpa background ya Nazis ndio kukupunguzia maumivu?

Naona Photoshop za kizamani tu hapo hahahah.Mi nawashauri tu wachukue silaha wakapigaje na Kagame la sivyo wataishia kujipa moyo tu mitandaoni.
 
Hiyo picha ilipigwa 2008 kwenye Holocaust History Museum (Yad Vashem) iliyoko Jerusalem kwenye kumbukumbu ya miaka sitini ya Holocaust. Hakuna ubaya wowote hapo.
 
FAConlEVQAYj-YM

Ziara ya mwamba Cabo Delgado.
 
Back
Top Bottom