Picha ya Kajala na Aunty Ezekiel kwenye baby party shower yazua minong'ono mitandaoni

warumi

R I P
Joined
May 6, 2013
Posts
16,218
Reaction score
18,440
Picha ya mastaa wa Bongo Movies, Aunt Ezekiel na Kajala Masanja wakiwa wamekumbatiana kwenye sherehe ya Aunt Ezekiel ‘Baby Shower Party 'ikiwa nikumpa zawadi mzazi mtarajiwa iliyofanyika usiku wa jana, yazua minong'ono ya hapa na pale. Miongoni mwa walioandika komenti kwenye picha hiyo iliwekwa mtandaoni kuhusiana na mahusiano ya sasa ya kati ya Aunt na Wema Sepetu.



Aunt Ezekiel na Wema Sepetu nimarafiki wa karibu sana japokuwa hivi juzi kati kuliripotiwa na vyombo mablimbali vya ukudaku kuwa urafiki wao umeyumba baada ya kusemekana Aunt aliipigia promo show ya Zari All White Party iliyofanyka siku ya mei mosi. Kitendo cha Kajala kuhudhulia kwenye Baby Shower ya Aunt kamezidisha minong'ono ya chini kwa chini kuwa inawezekan ikawa kweli kuwa hausinao ya Aunt na Wema yameyumba kwani Kajala na Wema kwa muda sasa wamekuwa hawapo sawa.

Hongera sana Kajala na Aunty kwa kuonyesha upendo
 
Aunty kutwa anashinda kwa wema.... sasa atahamia kwa kajala???

Mmmh napita
 
Ila hata mie na wengi hatuwezi wakataza wapenzi kusapotiana inapokuja kazi kupata mlo. Aunt bwana wake ni dansa wa Chibu.

Ila drama hizi za miezi hii saba nane sijui tisa duh...

Ambaye hatapanda kwa haya sijui watapatia wapi nafasi tena itabidi waombeee ma drama mengine makubwa ya kuvutia wengi yatokeeee
 
Hiyo baby shower wema hakwenda???
 
Kuna koment huko kwa new_kajala mie duh

Kasomeni wenyewe maana udaku wakati mwingine siuwezi ipo ya ajiitaye yage... (Nimesahau jina)...ni mie msoma komenti kumi ishirini so ilikuwa ya mida hii

Ndio nikakutana na picha hii ya Millard Ayo.
 

Attachments

  • 1431275703926.jpg
    36.8 KB · Views: 2,998
Kuna koment huko kwa new_kajala mie duh

Kasomeni wenyewe maana udaku wakati mwingine siuwezi ipo ya ajiitaye yage... (Nimesahau jina)...ni mie msoma komenti kumi ishirini so ilikuwa ya mida hii

Ndio nikakutana na picha hii ya Millard Ayo.

Nimeendako sioni koment kwa post ipi labdaaa
 
wema hadi azeeke atakua anaongea na kivuli chake tu make anagombana na kila mtu....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…