Slim5
JF-Expert Member
- Jan 7, 2014
- 28,203
- 37,906
wema hadi azeeke atakua anaongea na kivuli chake tu make anagombana na kila mtu....
Nasubiri agombane na KADINDISHA
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
wema hadi azeeke atakua anaongea na kivuli chake tu make anagombana na kila mtu....
Ikulu na mkulu
huyo ndo wanawezana make anajua na ameyakubali mapungufu ya wema anamuita "drama queen" make anamfokeaga utadhan shamba boy kumbe meneja akeNasubiri agombane na KADINDISHA
ha ha ha ana matatizo huyo binti sepetu hauwezekani kila rafiki awe mbayaNapia huyo Kajala anamtoto, Aunt nae ma kijacho. Huyo madam hata kizazi hana! lazima awe na kisangakwinyo. Au wwe unaonaje E. Salt?
ntawaambia wakaangilie kipindi cha in my viatuIle sheria imepitishwa tayarii utaambiwa utoe ushahidi sijui utatoajee
Na kweli binamu haiwezekani awe yeye tu anakwazwa dailywema ana tatizo bas tu