wema hadi azeeke atakua anaongea na kivuli chake tu make anagombana na kila mtu....
Ile sheria imepitishwa tayarii utaambiwa utoe ushahidi sijui utatoajee
Imepitishiwa wapi?
Ikulu na mkulu
Nimeendako sioni koment kwa post ipi labdaaa
mimi nawaza kuwa ni kuogeshwa mtoto sasa huyu aunt hajazaa mtoto anaogeshwaje?
Na wala sijaona wema ku post na wala aunt hajamtag wema yani umbea huuu raha
WAmetoka weusi kama picha za mwaka 2000 vile, apa ndio tunaona umuhimu wa camera 390
NDio maana halizai kutwa vinyongo mxiuuu
wema hadi azeeke atakua anaongea na kivuli chake tu make anagombana na kila mtu....