Picha ya Kajala na Aunty Ezekiel kwenye baby party shower yazua minong'ono mitandaoni

Picha tu izue gumzo kivipi? Sijaelewa
 
Nasubiri agombane na KADINDISHA
huyo ndo wanawezana make anajua na ameyakubali mapungufu ya wema anamuita "drama queen" make anamfokeaga utadhan shamba boy kumbe meneja ake
 
Napia huyo Kajala anamtoto, Aunt nae ma kijacho. Huyo madam hata kizazi hana! lazima awe na kisangakwinyo. Au wwe unaonaje E. Salt?
ha ha ha ana matatizo huyo binti sepetu hauwezekani kila rafiki awe mbaya
 
Hana tatizo hila anatatizwa na watatanishi wasiohishiwa utata wamweke matatani atatike
 
Ushoga wa ma star wa bongo wa kinafikinafiki tuuuuuuuuuuuuuuuu...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…