Picha ya kufikirisha: Nini kinaendelea Tanzania?

Ukiingia kwenye Siasa . Hakikisha umejitoa sadaka lolote laweza kutokea baya au zuri. Haijalishi chama tawala au upinzani.

Tunachofichwa ni kwamba Siasa haijawahi kumuacha mtu salama unaye mwona mwema nje ndiye mbaya ndani na kinyume chake ni sahihi.

NB. Tupiganie katiba mpya. Itakayoleta mfumo sawia kwa kila mtanzania.
 
Vice President yupo,
Acheni ujuaji, majukumu ya kitaifa yapo mengi anaweza kuwa sehemu nyingine.

Lakini pia kuna dharula,
Kuumwa na mambo mengine mengi binafsi.
Wakati mwingine hii minyumbu ikaushie kaka; imeishiwa, umechanganyikiwa. Faraja pekee waliyonayo ndo hivyo ku-air out mata,anio yao ya kishetani ambayo Mungu ameshayakataa muda tu.
 
Wakati mwingine hii minyumbu ikaushie kaka; imeishiwa, umechanganyikiwa. Faraja pekee waliyonayo ndo hivyo ku-air out mata,anio yao ya kishetani ambayo Mungu ameshayakataa muda tu.
Huu uwanja una CCM wengi kuliko wapinzani na mimi nikiwa CCM kindakindaki.
 
Nimemsikia madeleka kaeleza kwa kina.

Vita ya KATIBA MPYA ni ya Kila mtanzania..
 
Hivi lazma Rais akiwa anampokea mgeni wake VP inabidi awepo eti?Wajuzi mje sasa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…