dharula ndio nini mkuu!Vice President yupo,
Acheni ujuaji, majukumu ya kitaifa yapo mengi anaweza kuwa sehemu nyingine.
Lakini pia kuna dharula,
Kuumwa na mambo mengine mengi binafsi.
dharula ndio nini mkuu!Vice President yupo,
Acheni ujuaji, majukumu ya kitaifa yapo mengi anaweza kuwa sehemu nyingine.
Lakini pia kuna dharula,
Kuumwa na mambo mengine mengi binafsi.
Dharula ni mambo ya muhimu mno yanayojitokeza na kuharibu ratiba zako za kawaidadharula ndio nini mkuu!
Sijui sababu mi sipo huko LumumbaKwani huko lumumba mnakulaga urojo?
View attachment 3653150
Baada ya kuangalia hii picha ya ujio wa Rais Tshekedi nimejiuliza maswali mawili,
1.Yuko wapi Makamu wa Rais wa JMT?
2.Nini kinaendlea Tanzania nyuma ya pazia.
Samahani mkuu 'Reendade'. Kwa nini unahangaisha kichwa chako na hawa watu waliolaaniwa tayari?View attachment 3653150
Baada ya kuangalia hii picha ya ujio wa Rais Tshekedi nimejiuliza maswali mawili,
1.Yuko wapi Makamu wa Rais wa JMT?
2.Nini kinaendlea Tanzania nyuma ya pazia.
Ni lazima wote wawepo hapo?View attachment 3653150
Baada ya kuangalia hii picha ya ujio wa Rais Tshekedi nimejiuliza maswali mawili,
1.Yuko wapi Makamu wa Rais wa JMT?
2.Nini kinaendlea Tanzania nyuma ya pazia.
Mbona juzi juzi alikuwa Kisimkazi tena kwenye ngome yake kimama?Vice president hapatani na boss wake, hili kila mmoja analifahamu..
View attachment 3653150
Baada ya kuangalia hii picha ya ujio wa Rais Tshekedi nimejiuliza maswali mawili,
1.Yuko wapi Makamu wa Rais wa JMT?
2.Nini kinaendlea Tanzania nyuma ya pazia.
Anafanya kazi za kiofisi. Unataka umwone kariakoo?View attachment 3653150
Baada ya kuangalia hii picha ya ujio wa Rais Tshekedi nimejiuliza maswali mawili,
1.Yuko wapi Makamu wa Rais wa JMT?
2.Nini kinaendlea Tanzania nyuma ya pazia.
Wewe mwashambwa tilatilah na zingine nazificha NI one co. Lumumba buku 7fc huwa zinabadilishana shift tuuSijui sababu mi sipo huko Lumumba
Sikushangai sababu ndo akili za nyumbu zinapoishia.Wewe mwashambwa tilatilah na zingine nazificha NI one co. Lumumba buku 7fc huwa zinabadilishana shift tuu
Tunawajua nyinyi msiojulikana ukizidi kubwabwaja nakuanika Bora unge funga Domo lakoSikushangai sababu ndo akili za nyumbu zinapoishia.
Nasemaje, ndo akili za nyumbu zinapoishia hivyo hatuwashangaiTunawajua nyinyi msiojulikana ukizidi kubwabwaja nakuanika Bora unge funga Domo lako
Hao wote lao moja..Mbona juzi juzi alikuwa Kisimkazi tena kwenye ngome yake kimama?