Picha ya kufikirisha: Nini kinaendelea Tanzania?

Wakati mwingine hii minyumbu ikaushie kaka; imeishiwa, umechanganyikiwa. Faraja pekee waliyonayo ndo hivyo ku-air out mata,anio yao ya kishetani ambayo Mungu ameshayakataa muda tu.
Kwani huko lumumba mnakulaga urojo?
 
T A I F A L I M E Y U M B A S A N A T A N G U OCTOBER 29 / 2025.
 
Wabongo kwa kujifanya CIA πŸ™Œ

Tofauti na utawala huu, n mara ngapi umeona rais na makamu wake wanaongozana kila mahali?
 
Ndio maana uliitwa mchezo mchafu,ukiwa mchezaji lazima ujue kucheza kwa step.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…