Kishimbe wa Kishimbe
JF-Expert Member
- Jul 18, 2013
- 5,566
- 5,477
- Thread starter
- #21
... WEKA HIYO PICHA MKUU!Imenikumbusha mood aliyokuwa nayo Dr Wilson Mahela Mkurugenzi wa NEC kwenye uchaguzi wa 2020.
🤣
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
... WEKA HIYO PICHA MKUU!Imenikumbusha mood aliyokuwa nayo Dr Wilson Mahela Mkurugenzi wa NEC kwenye uchaguzi wa 2020.
Alimchanganya mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi Jaji Mwijage akaanza kupigia kampeni Mgombea wa ccm kwa kujichanganya.Yaani Lissu kawachanganya viongozi wa Chadema kiasi hiki. Kigaila kaka anaangalia kama ngedere aliyekosa mahindi.
Tafuta mtandaoni yaani Lissu anawanyanyasa sana... WEKA HIYO PICHA MKUU!
🤣
Lissu ni kichomi kwa ccm na wafuwasi wa chadema wenye mlengo wa mboweAlimchanganya mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi Jaji Mwijage akaanza kupigia kampeni Mgombea wa ccm kwa kujichanganya.
Huyu Lissu ni Simba
He can make a good presidentLissu ni kichomi kwa ccm na wafuwasi wa chadema wenye mlengo wa mbowe
🎯📍🔨wengi wasiomtaka tal wanajua akishika mpini kazi zao za uchawa zitayeyuka.
Pongezi kwa photographer aisee...View attachment 3179916View attachment 3179925
FOMU YA KUGOMBEA UENYEKITI ILIVYOPOKELEWA! 🤣
... kwa wale nguli wa kusoma BODY LANGUAGE!