Picha ya kukumbukwa

Picha ya kukumbukwa

Ubavu

JF-Expert Member
Joined
Jun 19, 2012
Posts
2,790
Reaction score
3,263
Rais wa Uganda, Yoweri Museveni akisalimiana na babake mzazi, Amos Kaguta huko Rwakitura muda mfupi baada ya vikosi vya NRA kuliteka jiji la Kampala 1986. Aliyevaa magwanda ya kijeshi kulia ni mhandisi Winnie Byanyima, ambaye ni mke wa Col.Kiiza Besigye.

1475584445328.jpg
 
Winnie Byanyima ambaye kwa sasa ni mke wa Kizza Besigye, alikuwa mke wa Museveni na wana mtoto . Lakini baada ya kuingia Ikulu, Museveni alimuacha Winnie na kumchukuwa Janet Museveni na kuwa first lady. Baada ya hapo ndo Besigye akuchukua mzigo. Kwahiyo hawa jamaa wana beef za "family affairs" na " Political Affairs" .
Kumbuka kwamba hata Besigye Mwenyewe alikwepo vitani na alikuwa Daktari mkuu. Aliwatibia wote waliopigwa risasi na kuumwa magonjwa mengine. For sure these guys were once very close friends, they used to eat and sleep together,lin leo ni maadui wakubwaaaa
 
Ubavu tutake radhi mapema kabisa plz nakuomba
 
Duuu aisee mapenzi haya mh kweli ni siri ya ndani....
 
Aisee, kumbe Besigye anakula the former wife wa Mseven!! Ngoja niichimbe zaidi hii khabari.
 
halafu mnataka mtu aachie nchi kirahisi rahisi tuu, daddeki
 
Back
Top Bottom