Picha ya kumbukumbu ya ndoa yangu

Michael Amon

JF-Expert Member
Joined
Dec 22, 2008
Posts
8,769
Reaction score
3,649
Hizi pesa ni moja wapo ya zawadi kubwa sana nilizopata katika harusi yangu kama miaka miaka miwili iliyopita. Pesa hizo zilitolewa kama zawadi na wazazi wa mke wangu kama zawadi kwa kufunga pingu za maisha. Hapa ni hotelini tukiwa bado tunakula na kufurahia honeymoon yetu baada ya kufunga ndoa.

 
bora ujiliwaze tu maana ulivyofulia ni balaaaa.....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…