Picha ya kura zilizochakachuliwa na afisa aliyesimamia eneo!

Picha ya kura zilizochakachuliwa na afisa aliyesimamia eneo!

Ab-Titchaz

JF-Expert Member
Joined
Jan 30, 2008
Posts
14,630
Reaction score
4,253
Hawa IEBC sijui watajitetea vipi na ishu kama hizi!

Endebess Constituency deputy Returning Officer opening the briefcase containing the disputed results at the OCPD office, Kitale.

In this particular criminal case,
Uhuru Kenyatta has been given 61,000 votes against a total of 29,000 registered voters for Endebess constituency.

The Returning Officer was arrested yesterday. However, the police aided her escape at 4am this morning. The Returning Officer has since gone underground.

Wakuu hizi kura bado mbali sana kuamuliwa.



8538370502_1aa860f5eb_b.jpg
 
The election is not free and fair,na kwa mtindo huu wakikuyu wanaiharibu kabisa kenya.
 
Alafu na mambo mengine kama haya!

226451_10200730299200318_1537057947_n.jpg
Duh, kweli miafrika ni miafrika tu hata ingekuwaje. Yaani walioandikishwa ni 726, halafu waliopiga kura 769 na msimamizi wa kituo anathibitisha kabisa kwamba kura 766 ni halali? Ina maana hizo nyingine zilitoka wapi? Lakini angalau wenzetu wa Kenya japo wana ujasiri wa kuhoji baadhi ya mambo kuliko sisi Tanzania ambako kila tunachoambiwa ni ndiyo.
 
Kuna watu wana jali sana pesa zaidi ya taifa lao. Huyo ofisa anatakiwa kunyongwa kabisa. Kumbe ndio maana Jaluo anataka astopishe hili zoezi!
 

What about the scandal below??? Who is going to fix what has happened in KITALE???



Endebess constituency deputy RO opening the briefcase containing the disputed results at the OCPD office, Kitale. In this particular criminal case, uhuru kenyatta has been given 61,000 votes against a total of 29,000 registered voters for endebess constituency.

The RO was arrested yesterday. However, the police aided her escape at 4am this morning. The RO has since gone underground.


The RO was arrested yesterday. However, the police aided her escape at 4am this morning. The RO has since gone underground.















 
Haya mambo haya ya political agenda...yatatufikisha kubaya waafrika.
 
nasikitika sana nikihofia kutokea tena fujo na mauaji nchini kenya. yaani watu hawana huruma wala maadili jamani! sasa polisi nae kajiingiza kwenye mkumbo wa kumtoa mtu! nae atiwe ndani basi, eboo. sijui tutastaarabika lini.
 
its known what r police standing for the fun thing is this stuff is never reported in the main stream media suggesting who also behind the censorship! Pretty sure RAO will emerge the winner even if not on 50+ basis
 
Kule Wakikuyu wameng'ang'ania, sisi huku DuDe linaitwa Li WAO M
 
Duh, kweli miafrika ni miafrika tu hata ingekuwaje. Yaani walioandikishwa ni 726, halafu waliopiga kura 769 na msimamizi wa kituo anathibitisha kabisa kwamba kura 766 ni halali? Ina maana hizo nyingine zilitoka wapi? Lakini angalau wenzetu wa Kenya japo wana ujasiri wa kuhoji baadhi ya mambo kuliko sisi Tanzania ambako kila tunachoambiwa ni ndiyo.

Mkuu sijui kwa nini unajidharau mwenyewe! Hivi matokeo ya urais Tanzania, 2005 & 2010 hayakuhojiwa? Na hizo kesi za ubunge ambazo ziliisha majuzi na baadhi kunyang'anywa ubunge wao, eg Peter Dalali Kafumu (Igunga) na Aeshi (Sumbawanga Mjini)? Au huko sio kuhoji? Katiba ingekuwa inaruhusu kwenda mahakamani kuhusu Matokeo kura za Urais Kikwete angeisikia tu Ikulu, I think!
 
Kuna watu wana jali sana pesa zaidi ya taifa lao. Huyo ofisa anatakiwa kunyongwa kabisa. Kumbe ndio maana Jaluo anataka astopishe hili zoezi!

Kikuyu hawezi kukubali kuongozwa na Jaluo. Kuna jamaa alimuuliza Mkuu wa usimamizi wa uchaguzi kwamba mbona hata ule wakati ambapo mabox ya kura hayaljaletwa kwa muda mrefu kura za Uhuru huwa zinaongozeka? Mkuu anasema sometimes huwa wanaongeza kwanza halafu ndio wanatangaza. Mchezo unafanyika hapo Bomas pia.

KTN walikuwa wanaongea kuwa Mkuu wa uchaguri amekiri na kufanya marekebisho kuwa kuna servers zilikuwa zina multipy baadi ya votes.

Raila anaweza kushindwa kihalali lakini inabidi asilale awe macho kwelikweli. Ukumbuke Kibaki anataka Uhuru ashinde. Na kibaki ana wataalam wa kuchakachua matokeo ambao aliwatumia uchaguzi uliopita.
 
Je Kenya wana utaratibu wa kuruhusu mtu aliyejiandikisha eneo A lakini kwa sababu mbalimbali siku ya uchaguzi ikamkuta eneo B? Kama ni ndiyo, basi total cast votes inaweza kuzidi idadi halisi ya registered voters...ila kama hawaruhusu utaratibu huo basi hapo kuna jambo.

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
 
... and Raila is Leading here,

Kwanza kabisa sipo upande wowote, Hapa Raila anaweza akawa anaongoza kama fomu inavyojionyesha lakini inawezekana kabisa wamejitahidi kuiba lakini imeshindikana, kwani kwa Tanzania mambo kama haya yalifanyika katika uchaguzi mdogo Arumeru CCM waliiba lakini kura hazikutosha.
 
Hao wanaochezesha kura wote wapewe adhabu kali maana wanataka kuleta machafuko!
 
Back
Top Bottom