Picha ya kura zilizochakachuliwa na afisa aliyesimamia eneo!

Picha ya kura zilizochakachuliwa na afisa aliyesimamia eneo!

Naona dalili ya rais Uhuru kuongezwa makosa mengine The Hague,kama wataendelea na michezo hii"
 
Tatizo hapa ni kwamba RO anapigana na mataifa mawili kwa mpigo. Haya ndiyo matokeo ya safari ya Rais Mwai Kibaki aliyoifanya hapa majuzi.
 
Shida ni kubwa kwa chaguzi nyingi AFRICA kwa sababu ya uchakachuaji kama huu na yote ni kwa sababu wagombea wanajifikiria wao na washirika wao hawako kwa maslah ya TAIFA NA WATU WAKE."AFRIKA KWISHNEY".
 
Mkuu sijui kwa nini unajidharau mwenyewe! Hivi matokeo ya urais Tanzania, 2005 & 2010 hayakuhojiwa? Na hizo kesi za ubunge ambazo ziliisha majuzi na baadhi kunyang'anywa ubunge wao, eg Peter Dalali Kafumu (Igunga) na Aeshi (Sumbawanga Mjini)? Au huko sio kuhoji? Katiba ingekuwa inaruhusu kwenda mahakamani kuhusu Matokeo kura za Urais Kikwete angeisikia tu Ikulu, I think!
Uko sahihi kabisa!
 
Uhuru na Kibaki wamechakachua kwa ustadi mkubwa sana.
 
Iko wazi kabisa na tulisema mapema,haiwezekani ukagundua errors uko na 44%,41%=85% ya kura alafu ukaendelea bila kuclear
 
Lets wait the courts verdict
Mr Oswago admitted some results read out at the auditorium had not been displayed on the screens and that some displayed had not been read out to the audience.

“That is not a big worry because at the end of the process, we will create a document with eight copies containing the form the Returning Officer brings to us and that will be given to (everybody involved) at the end of the process or towards the end of the process,” Mr Oswago said.
The screens were immediately changed to reflect the changes.
He said the commission had encountered “small problems” with Returning Officers from Mathare and Endebess and these had been corrected.

“We will finish this work; the chairman wants it now but I have been requesting him that we will make sure it is done,” he said of the tallying.
 
Ingawa sijui sana siasa za Kenya (all politics is local) ila nilikuwa na matumaini makubwa sana na Raila, na wala sijaweza kuamini kuwa Uhuru ndiye aliyekuwa chaguo la Wakenya hasa nikiweka pamoja mambo kadhaa ya huko nyuma. Ila kama nilivyowahi kuandika huko nyuma, iwapo itaonekana kuwa kweli wakenya walimchagua kihalali, basi itakuwa ni haki yake kuliongoza taifa hilo mchachari katika ukanda wetu na itakuwa ni wajibu wetu wanachi kumpa kila ushirikiano. Hata hivyo ikionekana kuwa uchaguzi wake ni wa kuchakachua, basi itabidi wapenda haki wote washirikiane kumpinga kwa vile chakachuzi umekuwa ni ugonjwa mkubwa sana katika nchi zetu hasa katika hii miaka ya 2000. Sina uhakika kama kweli Uhuru alipomfuata Kikwete kimya kimya na baadaye Mwai akahitimisha tripu hiyo, lengo lao ilikuwa ni kutafuta formula kamili ya machakachuzi kwa vile huyu wa kwetu anayajua kwa kina!.
 
After close scrutiny of the electoral process, its clearer Raila was disenfranchised. Cant this tribe from the mountain play safe or a honest game....the system is flawed ki2 big, why didnt IEBC source for upto standard BvR kits, why didnt they object to the tendering process even when the red flag was raised.....were they settiing a precident to outright vote rigging?
Why does a polling station report higher numbers than registered voters? Abnormal numbers in some constituencies the numbers are double high....i initially was for moving on but the arrogance some people are willing to go to put a point a accross is sickening.
Rao, match on with your legal teams...
 
Afrika iliisha laaniwa kitambo! bado tuna safari ndefu sana
 
In this particular criminal case, Uhuru Kenyatta has been given 61,000 votes against a total of 29,000 registered voters for Endebess constituency.

Endebess presidential results
Uhuru Kenyatta-11213
Raila Odinga-7608
Musalia Mudavadi-4012
Abdouba Dida-104
Martha Karua-154
Peter Kenneth-140
Paul Muite-68
Kiyiapi-215
spoilt-712
 
https://www.dropbox.com/s/pmll5j6iy...PRESIDENTIAL RESULTS DECLARED ON 9_3_2013.pdf

Above is the IEBC final tally, Where is the Endebess rigging?

[TABLE="width: 202"]
[TR]
[TD]CONST CODE
[/TD]
[TD="align: right"]137
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]CONST_NAME
[/TD]
[TD]ENDEBESS
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]DIDA
[/TD]
[TD="align: right"]104
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]KARUA
[/TD]
[TD="align: right"]154
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]KENNETH
[/TD]
[TD="align: right"]140
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]KENYATTA
[/TD]
[TD="align: right"]11,213
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]KIYIAPI
[/TD]
[TD="align: right"]215
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]MUDAVADI
[/TD]
[TD="align: right"]4,012
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]MUITE
[/TD]
[TD="align: right"]68
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]ODINGA
[/TD]
[TD="align: right"]7,608
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]VALID VOTES
[/TD]
[TD="align: right"]23,514
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]REJECTED
[/TD]
[TD="align: right"]712
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]VOTES CAST
[/TD]
[TD="align: right"]24,226
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]REG VOTERS
[/TD]
[TD="align: right"]28,962
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]TURNOUT
[/TD]
[TD="align: right"]84%
[/TD]
[/TR]
[/TABLE]

Lets argue with facts, not propaganda.
 
Je Kenya wana utaratibu wa kuruhusu mtu aliyejiandikisha eneo A lakini kwa sababu mbalimbali siku ya uchaguzi ikamkuta eneo B? Kama ni ndiyo, basi total cast votes inaweza kuzidi idadi halisi ya registered voters...ila kama hawaruhusu utaratibu huo basi hapo kuna jambo.
Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
HAPO WENGI HAWAPAONI
Mimi na wenzangu Mawakala tulishawahi kupiga Kura katika Kituo cha kupigia ambacho hatukujiandikisha ila tulikuwa Mawakala na hata Wasimamizi na askari ni Wapiga kura
Hili Gap la kura 800,000 kati ya Odinga na Uhuru hata wakirudiwa ni kubwa na itakuwa aibu
 
[h=2]Kweli sasa Raila namchukia kwani anapika majungu na ataanza vurugu yeye na washabiki wake
In this particular criminal case,
Uhuru Kenyatta has been given 61,000 votes against a total of 29,000 registered voters for Endebess constituency.

Kenya Elections 2013 - Daily Nation

Endebess Constituency Results[/h] [h=3]Constituency Statistics[/h] Population 818,757

Population Density (per sq km) 331
Registered Voters 415,581
Area (sq km) 2,470

[h=3]Official Presidential Results[/h] [TABLE="class: results county-const-results"]
[TR]
[TH="class: results-cand-head"]Candidate[/TH]
[TH="class: results-party-head"]Party[/TH]
[TH="class: results-votes-head"]Votes[/TH]
[TH="class: results-perc-head"]% Votes[/TH]
[/TR]
[TR]
[TD="class: results-cand"]ODINGA
[/TD]
[TD="class: results-party"]ODM [/TD]
[TD="class: results-votes"]7,608[/TD]
[TD="class: results-perc clearfix"]32.4%
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: results-cand"]MUITE[/TD]
[TD="class: results-party"]SAFINA [/TD]
[TD="class: results-votes"]68[/TD]
[TD="class: results-perc clearfix"]0.3%
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: results-cand"]MUDAVADI[/TD]
[TD="class: results-party"]UDFP [/TD]
[TD="class: results-votes"]4,012[/TD]
[TD="class: results-perc clearfix"]17.1%[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: results-cand"]KIYIAPI[/TD]
[TD="class: results-party"]RBK [/TD]
[TD="class: results-votes"]215[/TD]
[TD="class: results-perc clearfix"]0.9%
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: results-cand"]KARUA[/TD]
[TD="class: results-party"]NARC-K [/TD]
[TD="class: results-votes"]154[/TD]
[TD="class: results-perc clearfix"]0.7%[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: results-cand"]KENNETH[/TD]
[TD="class: results-party"]KNC [/TD]
[TD="class: results-votes"]140[/TD]
[TD="class: results-perc clearfix"]0.6%[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: results-cand"]KENYATTA
[/TD]
[TD="class: results-party"]TNA [/TD]
[TD="class: results-votes"]11,213[/TD]
[TD="class: results-perc clearfix"]47.7%[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: results-cand"]DIDA
[/TD]
[TD="class: results-party"]ARK [/TD]
[TD="class: results-votes"]104[/TD]
[TD="class: results-perc clearfix"]0.4%[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
 
You can fool people some time but not everytime.....someone is always on the lookout u make that adulterated mistake.
Study this figures from someone i hold with great respect and tell me you see nothing is sinister on IEBC's part.... NB🙁 kenyans stop joining the dots, we are different personalities), just quoted the figures
Constituency Dec 18 Reg Mar 9 Reg
Turkana North 18,561 23,683
Turkana West 32,513 21,252
Turkana Central 25,970 34,386
Loima 14,115 18,634
Turkana South 19,811 23,768
Turkana East 9,375 11,062
Kapenguria 37,099 41,328
Sigor 19,377 b b 21,341
Kacheliba 22,404 24,315
Pokot South 29,014 34,002
Narok South 45,072 49,884
Narok West 40,787 44,489
Kajiado West 52,453 45,833
Ndhiwa 61,339 57,576

Did we really have a credible election?
 
Dah hii kali jamani
Ndo maana wazungu hutuonaga majuha yaani unaiba Kihuni ivi!
 
Back
Top Bottom