Picha ya Kwanza ya Dogo Janja na Irene Uwoya

Dogo anatafuta kiki tu
Hawezi kupewa amuk huyo piga garagaza lipua majivu mabomu mbagust hajamuoa
 
Mmmh! Kwel wajinga ni wengi, iyo ni project ya movie ambayo inatarajiwa kutoka, uzinduzi wake utafanyika nigeria, jina la movie inaitwa (CHINI YA PANZIA)
 
Hiyo dharau kwa dini ya kiislamu yaani mke kichwa wazi mbele ya mashehe basi na uislamu umebakwa.
Nilishaaminishwa kuwa kichwa cha mwanamke wa kiislamu kuona nywele zake ni zaidi ya kuuona utupu wake basi leo nimeona makubwa.
 
Hii video inatoka lini? Na huu wimbo sijui utakuwa na ujumbe gani..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…