Picha ya Kwanza ya Dogo Janja na Irene Uwoya

Picha ya Kwanza ya Dogo Janja na Irene Uwoya

Tunakotoka tunapajua lkn tuendako hakika hatupajui kabisaaaaaaaaa
Kweli dunia ya mwendo kasi hii
 
Kwa hiyo hao wanaume waliosimama ni wakatoliki, wamoreviani na wapentekoste na huyo bwana harusi ni msabato au shahidi wa Jehovah?.
Nijibu hayo kwanza tusiende mbali aaaalaaaaa.
Ndugu hayo ni mavazi, kwani Ray kwenye ile muvi yake ya Ramadhan au Uke wenza si al8vaa hivyo, inamaana Ray kwani nae ni Muislam?
 
Hii misemo ya kusema eti mapenzi hayachagui dini, rangi, umri wala kabila inapotisha sana

Hapa wahenga walipuyanga

Huu upuuuz
 
Mlitaka mmolewe na wewe? Huko ufaransa wanasrmaje nao? Rais kuwa na mkee aliyemzidi miaka 35. Mme Mdogo. Make mkubwa.
 
Hutaelewa mpaka kesho wahi madrasa.

Sina haja ya kuelewa na wewe hakuna ulipokua unaelewesha yeyote humu kwenye post yako yeyote ndani ya thread hii.

Kama umeshindwa kuelewa kidogo kwamba 'taja' shehe mmoja kwenye hiyo picha ambaye hajaheshimiwa na bi harusi aliyekichwa wazi na hujaweza kuelewa ujibu nini, unadhani nitaelewa unachoandika?

Kwa mantiki hiyo, wewe ndio urudi darasani kujifunza maana ya neno 'taja' na ukiambiwa 'nitajie' nini unatakiwa fanya.

Pia kurudi darasani kukusaidie kujua swali linajibiwa kwa jibu, swali halijibiwi kwa swali.
 
Sina haja ya kuelewa na wewe hakuna ulipokua unaelewesha yeyote humu kwenye post yako yeyote ndani ya thread hii.

Kama umeshindwa kuelewa kidogo kwamba 'taja' shehe mmoja kwenye hiyo picha ambaye hajaheshimiwa na bi harusi aliyekichwa wazi na hujaweza kuelewa ujibu ninj, unadhani nitaelewa unachoandika?

Kwa mantiki hiyo, wewe ndio urudi darasani kujifunza maana ya neno 'taja' na ukiambiwa 'nitajie' nini unatakiwa fanya.

Pia kurudi darasani kutusaidia kujua swali linajibiwa kwa jibu, swali halijibiwi kwa swali.
Kutaja tu madrasa umefunguka mpaka basi, kosa ni mchepuo wa elimu uliopitia ndiyo umekuweka gizani na kukufanya uwe na hasira.
 
Dogo kaenda kufaidi naanza kufikili nyama za uwoya duh anyway sijui chochote hapo ni mawazo tu
 
Back
Top Bottom