Prof Griff
JF-Expert Member
- Aug 29, 2008
- 6,772
- 5,258
Utatunza watoto wake 5?Dogo janja ananipa moto sana
Mbitiyaza uko wapi bas miaka 15 unayonizid isiwe tabu kipenz cha moyo wangu
Hutaelewa mpaka kesho wahi madrasa.Hebu mtaje shehe mmoja hapo kwenye picha aliyevunjiwa heshima na bi harusi kichwa mwenye wazi.
Hata Mimi kweli, kama Ni kweli basi nimeamini wanaume Ni wachacheNitakuwa wa mwisho kuamini hii kitu.
Usijar tuko pamoja kiongoz wanguNimecheka Sana Aithee Ndugu Yangu
Na mwanamke kama irene wanaitwa MILF (mother i'll like to f**).......Kwa kiingereza watu dizaini ya Dogo Janja ndio wanaitwa mazafakaz.
Acha uongo,unazusha ili iweje,hiyo picha,IPO ktk shooting ya wimbo wa Keisha,
Ndugu hayo ni mavazi, kwani Ray kwenye ile muvi yake ya Ramadhan au Uke wenza si al8vaa hivyo, inamaana Ray kwani nae ni Muislam?Kwa hiyo hao wanaume waliosimama ni wakatoliki, wamoreviani na wapentekoste na huyo bwana harusi ni msabato au shahidi wa Jehovah?.
Nijibu hayo kwanza tusiende mbali aaaalaaaaa.
Hutaelewa mpaka kesho wahi madrasa.
Kutaja tu madrasa umefunguka mpaka basi, kosa ni mchepuo wa elimu uliopitia ndiyo umekuweka gizani na kukufanya uwe na hasira.Sina haja ya kuelewa na wewe hakuna ulipokua unaelewesha yeyote humu kwenye post yako yeyote ndani ya thread hii.
Kama umeshindwa kuelewa kidogo kwamba 'taja' shehe mmoja kwenye hiyo picha ambaye hajaheshimiwa na bi harusi aliyekichwa wazi na hujaweza kuelewa ujibu ninj, unadhani nitaelewa unachoandika?
Kwa mantiki hiyo, wewe ndio urudi darasani kujifunza maana ya neno 'taja' na ukiambiwa 'nitajie' nini unatakiwa fanya.
Pia kurudi darasani kutusaidia kujua swali linajibiwa kwa jibu, swali halijibiwi kwa swali.
Kutaja tu madrasa umefunguka mpaka basi, kosa ni mchepuo wa elimu uliopitia ndiyo umekuweka gizani na kukufanya uwe na hasira.
Nashangaa kwa sababu umefunguka nje ya mada. Unatisha.Hahaha, bora niliyefunguka kuliko usiejua nini ufanye unapoambiwa 'taja' then unamwaga povu. Kifupi umezua!
Nashangaa kwa sababu umefunguka nje ya mada. Unatisha.
Imeshafika Mkuu!Ndoa kwa tafsiri halisi na sahihi haipo tena!Fikiri kwa kina Dogo Janja kumwoa Irene Uwoya kuna ndoa hapo?Upuuzi mtupu!Kweli dunia inaelekea ukingoni...!