Picha ya Lemutuz yauzwa kwa mnada wa sh mil 7

Bado hajaja eh?
Ngoja aje,maana siku hizi uvumilivu umemshinda ameanza kurusha mitusi
 
We need watu kama le mutuz wanacheza na akili ndogo kupiga pesa
 
"Hakuna umasikini mbaya kama umasikini wa akili"
 
Baba Swalehe...huyu nae atafia batani kama Papa Wemba ajionei huruma
 
alipendeza sana huyu jamaa...ingawa umri ndo hvo umemtupa mkono sasa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…