Picha ya leo, rais Magufuli na bastola

Picha ya leo, rais Magufuli na bastola

Donnie Charlie

JF-Expert Member
Joined
Sep 16, 2009
Posts
16,908
Reaction score
19,123
eff31dd95c35151addf5252ea2669dd1.jpg
 
Ina maana Rais anajilinda mwenyewe, sasa hao wanaomzunguka mbele, nyumba na pembeni pande zote wanafanya nini
Hata mimi nimeshangaa kwelikweli kusikia eti rais anamiliki bunduki na bastola. Vya nini vyote hivyo?
Kama alivimiliki kipindi akiwa waziri, je, kuchaguliwa kwake kuwa rais kunamruhusu kuendelea kumiliki silaha za moto?
 
Mpaka zoezi la uhakiki silaha lifike Ngara na Biharamulo kuna watu watatoka na vifaru. Tehe
 
nani mshauri wa raisi kwenye maswala ya usalama??

usalama wa rais uko wapi kama dunia imeshajua aina ya silaha anayotumia raisi na mahala anapohifadhi silaha hiyo??
 
Hata mimi nimeshangaa kwelikweli kusikia eti rais anamiliki bunduki na bastola. Vya nini vyote hivyo?
Kama alivimiliki kipindi akiwa waziri, je, kuchaguliwa kwake kuwa rais kunamruhusu kuendelea kumiliki silaha za moto?
Ndio kunamruhusu, bado ni raia wa tanzania, kwa nino asiruhusiwe?
 
nani mshauri wa raisi kwenye maswala ya usalama??

usalama wa rais uko wapi kama dunia imeshajua aina ya silaha anayotumia raisi na mahala napohifadhi rais huyo??
Unaweza kuthibitisha kuwa anatembeaga nayo?
By the way, kama maadui wake wamefikiri kuwa anatembeaga na pistol na anaiwekaga hapo basi ni good move, psychologically, kawashinda! Hata akiwa hana watu watamgwaya!
 
Hadi 2020 maigizo ya huyu mheshimiwa yatakuwa yamefikia patamu
 
Ina maana Rais anajilinda mwenyewe, sasa hao wanaomzunguka mbele, nyumba na pembeni pande zote wanafanya nini
Mkuu Rais kuwa na Silaha maana yake anajilinda mwenyewe? Tafakuri kidogo tu! Geti la Ikulu linalindwa, Analindwa mpaka mlango wa kuingia ofisini kwake? Sasa anajilindaje mwenyewe na kabastola alikokaweka kiuoni? Fikiria hivi, atakapokuwa ofisini kutakuwa na walinzi nje! akiwa chumbani vile vile kutakuwa na walinzi nje, unaposema anajilinda mwenyewe maana yake nini? Wanaomzunguka ndio wanamlinda kuwa na silaha sio maana yake anajilinda mwenyewe, please acheni utoto kuweni basi.
 
nani mshauri wa raisi kwenye maswala ya usalama??

usalama wa rais uko wapi kama dunia imeshajua aina ya silaha anayotumia raisi na mahala anapohifadhi silaha hiyo??
Yote yanaweza badilika aina na mahala anapohifadhi
 
Back
Top Bottom