Picha ya leo, rais Magufuli na bastola

Picha ya leo, rais Magufuli na bastola

Yaani leo ndio nimeamini yanayosemwa mtaani,kufanya kazi kwa media.

Hivi ambao mmeshahakiki zoezi hilo linachukua muda kiasi gani kwa silaha moja kuhakikiwa?maswali gani ya msingi yanayoulizwa na wanaohakiki? Je wasiporidhika na majibu yako wanakupokonya hiyo silaha?
 
Kwani hata akitembea nayo kuna tatizo?
 
Hata mimi nimeshangaa kwelikweli kusikia eti rais anamiliki bunduki na bastola. Vya nini vyote hivyo?
Kama alivimiliki kipindi akiwa waziri, je, kuchaguliwa kwake kuwa rais kunamruhusu kuendelea kumiliki silaha za moto?
kama raia wanaruhusiwa kwa nn Rais asiruhusiwe? unashangaa nn sasa
 
picha zina tafsiri nyingi sana,wengi tuakimbilia kufocus kwa Mh.Rais pasipo kuangalia wengine waliopo pichani.
Ulinzi wa Mh.Rais na wananchi wote ni mafiga matatu kama mnavyoona pichani na si silaha kama wengi mnavyodhani,silaha hapo imetumika kama changa la macho tu.

Hakika tumepata Amiri Jeshi mkuu wa majeshi yote,historia hatamsahau.
 
eff31dd95c35151addf5252ea2669dd1.jpg
🤣
Na vile alisema yeye ni kichaa, hapo lingeweza kutokea lolote
 
Ina maana Rais anajilinda mwenyewe, sasa hao wanaomzunguka mbele, nyumba na pembeni pande zote wanafanya nini
Kuna marais nakumbuka watatu waliuwawa na walinzi wao
Abdirashid Sharmake wa somalia, Laurent Kabila na Jose Santos wa Honduras
Hiyo ya kuwa na pistol naona ni ushamba tu kwani huwezi kuwa na mda wa kuitumia ukishambuliwa

Labda kama umelala nayo
 
Back
Top Bottom