Mashamba Makubwa Nalima
JF-Expert Member
- Mar 19, 2024
- 4,978
- 2,411
Pamoja na yote ila haikufua dafu alikufa akatuacha..Ina maana Rais anajilinda mwenyewe, sasa hao wanaomzunguka mbele, nyumba na pembeni pande zote wanafanya nini
Maisha ni hadithi..ipange vyema hadithi yako.Jamani mbona huyu mwenda zake anaandamwa hivi? Kwani Kuna nini?
Machale yalikucheza...ndo ivyo imetokea kweliPicha nzuri ila inaogopesha.Sijawahi kuona Rais mwingine zaidi ya Sadam Hussein akiweka silaha ya moto kiunoni.
Amiri jeshi mkuu atakaaje kizembe?
Inafikirisha sanaIna maana Rais anajilinda mwenyewe, sasa hao wanaomzunguka mbele, nyumba na pembeni pande zote wanafanya nini