Atoto
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 86,410
- 169,862
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Huyo mzee kwenye kupigilia pamba huwa hakosei![]()
Yaani hii picha kila nikiiangalia nacheka tu. Hivi huyu msukuma huwa anajiangalia kwenye kioo kweli!!!!