[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Huyo mzee kwenye kupigilia pamba huwa hakosei
My kaka unacheka nini?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hahaha
Hahah acha tu sisy.My kaka unacheka nini?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hahah acha tu sisy.
Kanzu kama imeanikwa hivi
Teh kuna makusudi basi..[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Huyu baba sijui wanamfanyiaga makusudi!!! Maana sio kwa hizi over size.
Hahahaaaa!! Kwahiyo kumbe tatizo ni mwili!! Sitaki uchochezi my kaka.Teh kuna makusudi basi..
Kuna miili hata mafundi wa Dunia wakutane haiwezi kupendeza na nguo. Ila miili mingine hata ikivalishwa kitu cha ajabu unaelewa
Kwa hiyo atakuwa Rais kwa sababu ana suti nzuri!!!Suti ya namna hii huwezi kuikuta kwenye maduka ya chator. Na ukiikuta bahati mbaya lazima iwe oversize.
[emoji3][emoji3]Kes
Uchochezi kesho jisalimishe police
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Suti ya namna hii huwezi kuikuta kwenye maduka ya chator. Na ukiikuta bahati mbaya lazima iwe oversize.
Unacheka gukanzu
Jibu murwa kabisa...Kula likeNdoto ni sehemu ya maisha ya kila mwanadamu mwenye kuhitaji mafanikio kama huna ndoto basi jua ubongo wako ni tegemezi
Akili maji huwa haziwezi kufikiri nje ya box la siasa.Kwa hiyo atakuwa Rais kwa sababu ana suti nzuri!!!
[emoji85] [emoji85] [emoji85]
hahaha yaani hipicha ikiwezekana siku nakufa nataka nizikwe nayo nikamuonyea Nyerere angalau aburudikeHuyo mzee kwenye kupigilia pamba huwa hakosei
Travolta ya ukweli sana.Suti ya namna hii huwezi kuikuta kwenye maduka ya chator. Na ukiikuta bahati mbaya lazima iwe oversize.
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] mzeee wa chattle bwana. Sijui ushamba ataacha lini ?Huyo mzee kwenye kupigilia pamba huwa hakosei