Hahahaha,, acha kumjaza presha mwenzio mkuu!!umeshauaga umaskini,pesa yake unakula hadi kizazi cha3 huko kwa vilembwezo
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuhusu Soko lipo sema hayana thamani kubwa wengi hununua kwa Kilo.... BEI ya Soko 20,000 imezidi Sana 30,000.Japo Mazingira ulopiga picha hayajaonyesha mwanga halisi ambao ungesaidia kuyatambua hayo Madini....
ILA kwa Rangi na Mikato yake Mimi naona hiyo ni RED GARNET.....
Yani kilo moja ndio bei hiyo?Kuhusu Soko lipo sema hayana thamani kubwa wengi hununua kwa Kilo.... BEI ya Soko 20,000 imezidi Sana 30,000.
NaCl bei yake si buku per kgYani kilo moja ndio bei hiyo?
Utadhani bei ya common salt(NaCl)[emoji1]
Sent using Jamii Forums mobile app
Sio madini yote yanathamani kubwa mkuu.Yani kilo moja ndio bei hiyo?
Utadhani bei ya common salt(NaCl)[emoji1]
Sent using Jamii Forums mobile app
Utaua watu kwa preshaumeshauaga umaskini,pesa yake unakula hadi kizazi cha3 huko kwa vilembwezo
Sent using Jamii Forums mobile app
Japo Mazingira ulopiga picha hayajaonyesha mwanga halisi ambao ungesaidia kuyatambua hayo Madini....
ILA kwa Rangi na Mikato yake Mimi naona hiyo ni RED GARNET.....
Madini yana thamani tofauti....Yani kilo moja ndio bei hiyo?
Utadhani bei ya common salt(NaCl)[emoji1]
Sent using Jamii Forums mobile app
Arusha, Dar na sehemu zingine.....Mkuu soko lake ni wapi ndugu na pengine utaratibu wake upoje,Ufafanuzi kidogo tafadhari.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kiongozi naona kimyaArusha, Dar na sehemu zingine.....
Utaratibu gani unaoulizia!?
Jioni ya leo ntakuandikia Mkuu, majukumu yalikua Mengi...Kiongozi naona kimya
ni kweli lakini madini ambayo hayana hela huwa yanapatikana kwa wengi na extraction yake ni mtaji mkubwa lakini profit yake ni kubwa kuliko hata hayo yenye bei kubwaSio madini yote yanathamani kubwa mkuu.
Sio kweli Mkuu.ni kweli lakini madini ambayo hayana hela huwa yanapatikana kwa wengi na extraction yake ni mtaji mkubwa lakini profit yake ni kubwa kuliko hata hayo yenye bei kubwa