Picha ya madini

Picha ya madini

MeruA

JF-Expert Member
Joined
Aug 9, 2017
Posts
1,390
Reaction score
2,148
Wakuu habarini za uzima,kuna mwamba mmoja kanitumia picha ya mawe fulani yanayosadika kuwa ni madini kutoka huko kanda ya ziwa,je ni madini gani na soko lake lipo wapi??kwa yeyote anayeyafahamu msaada wenu ndugu zangu[emoji1317].
IMG-20200518-WA0003.jpeg
IMG-20200518-WA0000.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Japo Mazingira ulopiga picha hayajaonyesha mwanga halisi ambao ungesaidia kuyatambua hayo Madini....
ILA kwa Rangi na Mikato yake Mimi naona hiyo ni RED GARNET.....
 
Japo Mazingira ulopiga picha hayajaonyesha mwanga halisi ambao ungesaidia kuyatambua hayo Madini....
ILA kwa Rangi na Mikato yake Mimi naona hiyo ni RED GARNET.....
Kuhusu Soko lipo sema hayana thamani kubwa wengi hununua kwa Kilo.... BEI ya Soko 20,000 imezidi Sana 30,000.
 
Mkuu soko lake ni wapi ndugu na pengine utaratibu wake upoje,Ufafanuzi kidogo tafadhari.
Japo Mazingira ulopiga picha hayajaonyesha mwanga halisi ambao ungesaidia kuyatambua hayo Madini....
ILA kwa Rangi na Mikato yake Mimi naona hiyo ni RED GARNET.....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yani kilo moja ndio bei hiyo?

Utadhani bei ya common salt(NaCl)[emoji1]

Sent using Jamii Forums mobile app
Madini yana thamani tofauti....
Wakati Gram ya Tanzanite inakwenda 600,00+
Yapo Madini hapa hapa Tanzania 1 gram inakwenda kwa more than 100 millions, hiyo ni kwa 1.gram...

Na yapo Madini yanauzwa kwa Kilo 1 mpaka sh. 5,000 so Watu wanao deal na Madini hakuna cha ajabu hapo.
 
Haya yapo mengi sana, nisha yaona bro anayachimba nikiwa mtoto, alishia kuweka ndani tuu, (damu ya mzee)
 
Mwenye kujua bei ya copper cathodes zambia/ drc anijuze naogopa kupigwa kutokana na ugeni. Bei elekezi tafadhali kabla sijaingia front
 
Sio madini yote yanathamani kubwa mkuu.
ni kweli lakini madini ambayo hayana hela huwa yanapatikana kwa wengi na extraction yake ni mtaji mkubwa lakini profit yake ni kubwa kuliko hata hayo yenye bei kubwa
 
Back
Top Bottom