Picha ya Membe na Magufuli imenitoa machozi

Umesahau kumtukana lisu, lema, mnyika, msigwa, heche, mbowe na wana chadema wote hivyo habari yako haijakamilika. Andika tena na uwatukane hawa watu.
Asante
Wakisema watu walioenda shule wasimame na wewe utasimama?
lisu Lisu,lema_Lema, mnyika_Mnyika, msigwa_Msigwa,heche Heche,mbowe_ Mbowe, chadema_CHADEMA.
Ni vitu vidogo lakini vikubwa na vina maana sana kwenye uandishi.
 
Membe alijua Magufuli akiwa Rais atamnyooshea mapito yake, kuupata ule uongozi wa Jumuia ya Madola, bahati mbaya Magufuli akampotezea na hapo ndipo hasira za Membe zikalipuka.
Alimootezea kwa sababu hakumuunga mkono kwenye kampeni
 
Sasa kama mambo ya kijinga haya yanakutoa machozi, wewe unahisi uko sawa kweli?.
Picha ikutoe machoz, gun si itakutoa haja haja!!
Hao wote hawapo duniani , mmoja alishangilia sana kifo cha mwenzake
 

Picha ya pili hii ina mtoa taarifa kwenye genge la mafisadi na wapanga njama za mauji. Hapo anahakikishiwa kwamba wewe kimbia nchi lakini sisi tutamfanyizia huyo Jabali!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…