Picha ya miaka 1500 inayoaminika kuwa ni ya Yesu yapatikana huko nchini Syria

Picha ya miaka 1500 inayoaminika kuwa ni ya Yesu yapatikana huko nchini Syria

Wakuu,

Katika mji wa kale wa Hierapolis nchini Syria, picha ya ajabu ya uso wa Yesu Kristo imefunuliwa, inayojulikana kama "Keramion."

Kipande hiki cha kipekee cha sanaa kinatokea katika enzi za mwanzo za Ukristo na inakadiriwa kuwa na umri wa zaidi ya miaka 1,500.
Yesu alikuwapo duniani kuuwawa miaka 1992 iliyopita. Sasa salamu hili la miaka 1500 iliyopita itakuwaje liwe na sura ya Yesu? Kuna watu wanatafuta hela za utalii hapo, wapuuze!
 
Back
Top Bottom