Dah apone haraka inshaAllah.. i hope waliofanya hivi watakamatwa
Pia anamiliki genge la Wahalifu ambalo analitumia kumlinda na kuwaadhibu wapinzani wake au maadui zake akishirikiana na mdogo wake Ghalib Mohammed Saad.Kundi hilo linalojulikana kama Ze Popobawa ndilo ambalo Agosti mwaka huu lilitumika kumteka nyara Mlebanoni mfanyabiashara ambaye ana duka la vitu vya ndani Mtaa wa Morogoro karibu na makutano ya barabara za Morogoro na Bibi Titi na baadaye kumwingilia kinyume cha maumbile kisha kumpeleka kwa nguvu Uwanja wa ndege wa Mwalimu Nyerere kumrejesha kwao Yemen kinyume cha taratibu.Pole sana, yani amekuwa kama mzaramo wakati ni mwarabu. Dah! Pole sana
Du ni kweli huyu jamaa alikuwa na hasira sana kubeba kiasi kikubwa vivyo cha Tindikali na MUNGU amlinde asikamatwe, kwani ametulipia na sisi ndugu zetu waliouawa na eti kuwalipwa machungu.mbona sehemu kubwa hivyo inaonekena huyo mchizi alikuwa ameibeba
kwa beseni, ni dhuluma au kesi ya mke wa mtu mwenye mawivu ya kuua.
Pole sana, yani amekuwa kama mzaramo wakati ni mwarabu. Dah! Pole sana
Du ni kweli huyu jamaa alikuwa na hasira sana na MUNGU amlinde, aliyemmwagia huyu Mwarabu koko ametulipia na sisi ndugu zetu waliouawa na eti kuwalipa machungu.
Moja ya matukio hayo ni kumpiga risasi mfanyakazi wake mwaka 2005 wakati akishusha bidhaa za kuuza dukani kutoka katika gari lake, kumpiga risasi mwanafunzi wa Shule ya Msingi Vingunguti, Deo Vicent Agosti 15, 2006 saa 1:00 usiku Mtaa wa Msimbazi na Swahili Kariakoo jijini Dar es Salaam.
Mfanyakazi wake alimpiga baada ya kumbishia Said kwamba hawezi kumpiga risasi kwa sababu anajua sheria za nchi haziruhusu kufanya hivyo. Alimpiga kuonyesha kwamba yeye yupo juu ya sheria za nchi. Kesi hiyo nayo aliimaliza kimya kimya kwa kumpa hela mfanyakazi huyo na ndugu zake na polisi.
Mtoto Vicent yeye baada ya kupigwa risasi aliliripoti Polisi na baadaye alilazwa katika Wodi namba 17 Moi kwenye hospitali ya Taifa ya Muhimbili jijini Dar es Salaam. Alipigwa risasi ya mguuni wakati akipita karibu na duka la Said baada ya mashabiki wa Simba waliokuwa wakisherekea ushindi wa timu yao kupita katika eneo hilo.
Hata hivyo, alimaliza kesi hiyo nje ya mahakamani kwa kuwapa hela wazazi wa mtoto huyo.
Sio kwamba atalipiza kisasi kwa wabaya wakeZiko wapi jeuri zote?
Ujafa hujaumbika, Labda akirudi atakuja kutubu madhambi yote aliyowafanyia wafanyakazi wake na watu wengine.
Kweli ameumia lakini nashindwa kuona huruma kutokana na vitendo vya kinyama anavyowafanyia watu wasiokuwa na hatia. Kumbe ni mtu katili kiasi hiki. Mbona sasa huo utajiri haukumzuia kumwagiwa tindi kali? Jamani, tujiepushe na ukatili. Binadamu hata kama ni maskini ana haki ya kuishi. Kabla hujafa hujaumbwa.mmesoma yote na kushanga jinsi alivyo umia ila amjasoma mali anazo miliki, jinsi anavyo fanya unya wa kuiba nyara za serikali na kuzipeleka nje na pia biashara ya dawa za kulevya anazo fanya hawa watu ni hatari sana nani wakufunga tukipata utawala dhabiti na wenye nguvu
Weken hadharan hayo madhambi tuyajue jamani