Picha ya mmiliki wa home shopping center

Picha ya mmiliki wa home shopping center

Hii inatufundisha na kutukumbusha kuwa ni kazi sana gharama sana kuishi KIBABE hapa ulimwenguni, WABABE mara nyingi mwisho wao ni kama huu, RISASI,TINDIKALI,KUJITOA MHANGA nk.
Hata kama una pesa kiasi gani heshima kwa BINADAMU wenzio inatakiwa kubaki palepale, usije ukawa na pesa basi ukadhani kuwa unaweza kumnyanyasa kila upendae,kumbuka hata MASKINI kabisa anaweza kukutoa ROHO bila gharama yeyote maana haihitajiki pesa kutekeleza hilo ni UJASIRI TU.
Kwa hili ni kisasi tu hamna kingine, na iwe funzo kwa wenye MADARAKA na MATAJIRI Wote kwamba TUHESHIMIANE JAMANI!! mtatangulia buure!!
 
Pole sana, yani amekuwa kama mzaramo wakati ni mwarabu. Dah! Pole sana
Pia anamiliki genge la Wahalifu ambalo analitumia kumlinda na kuwaadhibu wapinzani wake au maadui zake akishirikiana na mdogo wake Ghalib Mohammed Saad.Kundi hilo linalojulikana kama Ze Popobawa ndilo ambalo Agosti mwaka huu lilitumika kumteka nyara Mlebanoni mfanyabiashara ambaye ana duka la vitu vya ndani Mtaa wa Morogoro karibu na makutano ya barabara za Morogoro na Bibi Titi na baadaye kumwingilia kinyume cha maumbile kisha kumpeleka kwa nguvu Uwanja wa ndege wa Mwalimu Nyerere kumrejesha kwao Yemen kinyume cha taratibu.
hhhh.jpg

Mbona malipo ni hapahapa Duniani, inabidi uje uwaombe radhi wote uliowadhuru hata km ni marehemu kwani kila binadamu ataonja umauti
 
Hii inatisha! Hivi mtu unawezaje kumfanyia mwanadamu mwenzako kitendo kama hiki?
 
mmesoma yote na kushanga jinsi alivyo umia ila amjasoma mali anazo miliki, jinsi anavyo fanya unya wa kuiba nyara za serikali na kuzipeleka nje na pia biashara ya dawa za kulevya anazo fanya hawa watu ni hatari sana nani wakufunga tukipata utawala dhabiti na wenye nguvu
 
mbona sehemu kubwa hivyo inaonekena huyo mchizi alikuwa ameibeba
kwa beseni,
ni dhuluma au kesi ya mke wa mtu mwenye mawivu ya kuua.
Du ni kweli huyu jamaa alikuwa na hasira sana kubeba kiasi kikubwa vivyo cha Tindikali na MUNGU amlinde asikamatwe, kwani ametulipia na sisi ndugu zetu waliouawa na eti kuwalipwa machungu.

Moja ya matukio hayo ni kumpiga risasi mfanyakazi wake mwaka 2005 wakati akishusha bidhaa za kuuza dukani kutoka katika gari lake, kumpiga risasi mwanafunzi wa Shule ya Msingi Vingunguti, Deo Vicent Agosti 15, 2006 saa 1:00 usiku Mtaa wa Msimbazi na Swahili Kariakoo jijini Dar es Salaam.

Mfanyakazi wake alimpiga baada ya kumbishia Said kwamba hawezi kumpiga risasi kwa sababu anajua sheria za nchi haziruhusu kufanya hivyo. Alimpiga kuonyesha kwamba yeye yupo juu ya sheria za nchi. Kesi hiyo nayo aliimaliza kimya kimya kwa kumpa hela mfanyakazi huyo na ndugu zake na polisi.

Mtoto Vicent yeye baada ya kupigwa risasi aliliripoti Polisi na baadaye alilazwa katika Wodi namba 17 Moi kwenye hospitali ya Taifa ya Muhimbili jijini Dar es Salaam. Alipigwa risasi ya mguuni wakati akipita karibu na duka la Said baada ya mashabiki wa Simba waliokuwa wakisherekea ushindi wa timu yao kupita katika eneo hilo.
Hata hivyo, alimaliza kesi hiyo nje ya mahakamani kwa kuwapa hela wazazi wa mtoto huyo.
 
Du ni kweli huyu jamaa alikuwa na hasira sana na MUNGU amlinde, aliyemmwagia huyu Mwarabu koko ametulipia na sisi ndugu zetu waliouawa na eti kuwalipa machungu.

Moja ya matukio hayo ni kumpiga risasi mfanyakazi wake mwaka 2005 wakati akishusha bidhaa za kuuza dukani kutoka katika gari lake, kumpiga risasi mwanafunzi wa Shule ya Msingi Vingunguti, Deo Vicent Agosti 15, 2006 saa 1:00 usiku Mtaa wa Msimbazi na Swahili Kariakoo jijini Dar es Salaam.

Mfanyakazi wake alimpiga baada ya kumbishia Said kwamba hawezi kumpiga risasi kwa sababu anajua sheria za nchi haziruhusu kufanya hivyo. Alimpiga kuonyesha kwamba yeye yupo juu ya sheria za nchi. Kesi hiyo nayo aliimaliza kimya kimya kwa kumpa hela mfanyakazi huyo na ndugu zake na polisi.

Mtoto Vicent yeye baada ya kupigwa risasi aliliripoti Polisi na baadaye alilazwa katika Wodi namba 17 Moi kwenye hospitali ya Taifa ya Muhimbili jijini Dar es Salaam. Alipigwa risasi ya mguuni wakati akipita karibu na duka la Said baada ya mashabiki wa Simba waliokuwa wakisherekea ushindi wa timu yao kupita katika eneo hilo.

Hata hivyo, alimaliza kesi hiyo nje ya mahakamani kwa kuwapa hela wazazi wa mtoto huyo.

Kumbe kuna meng dhd yake yamejficha
 
Malipo mengine ni hapa hapa dunia,ubabe na dhuruma vimewagharimu wengi.
 
mmesoma yote na kushanga jinsi alivyo umia ila amjasoma mali anazo miliki, jinsi anavyo fanya unya wa kuiba nyara za serikali na kuzipeleka nje na pia biashara ya dawa za kulevya anazo fanya hawa watu ni hatari sana nani wakufunga tukipata utawala dhabiti na wenye nguvu
Kweli ameumia lakini nashindwa kuona huruma kutokana na vitendo vya kinyama anavyowafanyia watu wasiokuwa na hatia. Kumbe ni mtu katili kiasi hiki. Mbona sasa huo utajiri haukumzuia kumwagiwa tindi kali? Jamani, tujiepushe na ukatili. Binadamu hata kama ni maskini ana haki ya kuishi. Kabla hujafa hujaumbwa.

Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
 
Malipo. Unyama ulioufanya, huu uliofanyiwa ni mdogo kabisa.
 
Back
Top Bottom